Quantcast
Browsing all 3175 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda afute kauli yake, aombe msamaha

<a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Brewing Feuds: Will the EAC Survive?

Those who bother to go back to history books will agree with us that bad blood between former Tanzania President Julius Nyerere and Idi Amin, former Uganda President in 1977 stalled the then EA...

View Article


Tamaa, upofu, uroho na roho mbaya vitaliangamiza taifa

MATUKIO  ya kushambuliwa kwa mkutano wa CHADEMA kule Soweto Arusha na kupigwa na kuumizwa vibaya kwa wananchi wakiwamo viongozi wa chama hicho hayawezi kupita bila kulaaniwa kwa sauti kali. Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walevi kukata kanywaji na Obama

 We’ve a dream. Yes we’ve a big dream of changing the kaya. We’ve a dream to meet with Black Obama and talk business and not politics. We will taaalk and taaaalk and taaaalk.  Walevi have a dream....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Pinder, hold your shibboleths

  When Big Minister Mizengwe Pinder ‘courageously’ encouraged cops to keep on brutalized boozers, many were saddened, sickened and shocked beyond explanation. They said that he did so pointlessly and...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is it endgame for Morsi?

The look of things in Egypt is that Egyptian President Mohamed Morsi is on his way out.The day he was to mark a year in office, he was shocked to see hundreds of thousands of disgruntled Egyptians...

View Article

Eti, "Obama anatafuta nini ‘bedroom’?"

 Na Ansbert NgurumoRAIS Barack Obama, anaingia nchini Tanzania kesho mchana. Sihitaji kueleza nini kinaendelea hapa nchini kuhusu maandalizi ya mapokezi ya kiongozi huyo. Yamesemwa mengi na kuandikwa...

View Article

Kumbe kaya haina ndata wala ndutu

JUZI nusu mgosi Machungi azipige na ndata bila kujali wangemlipua na mibomu yao ya kigaidi au la. Mgosi akiwa zake mitaa ya Buguruni kwa Mnyamani akipanga kwenda zake Kigogo Mwisho kudai njuluku zake...

View Article


"Wanaopinga Tanganyika walaaniwe"

<a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Obama Visit: Tanzania Should Not Brag

US President Barack Obama’s trips abroad are always iconic-cum-echoic despite the controversy they evoke. The amount of money spent on security details, economic expectations, issues addressed and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Morsi saw it coming but didn't get it

This blog wrote yesterday that former Egyptian President Mohamed Morsi's regime was on its way out of power. We called what was going on an endgame. This is after the army threatened to take...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kipanya na watawala mapanya walivyonufaika na ziara ya Obama

Kwa utani na uoni wa karibu kibonzo hiki kinaweza kuchukuliwa kama utani, kina ukweli usiopingika. Hebu fikiri kwa mfano kitendo cha Richmond-Dowans kubatizwa na kuitwa Symbion Tanzania tena...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barua ya wazi kwa Pinda toka kwa walevi

Baada ya Waziri Mkubwa, Mizengwe Pindapinda, kupinda na `kupayuka’ huku akifyatuka, kikao cha walevi kimemtuma mlevi kumpa salamu zake. Kwanza, tunampenda na kumheshimu sana. Ila tunamshauri atubie...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

How Obama unraveled Bongo-Peace Mystery

  Our hunk’s always been surrounded by mysteries one of them being the whole boring manta of being referred to as an Island of Peace. Is it really an Island of Peace of an Island in pieces? How can it...

View Article

Angalia Tanzania inavyobakwa

http://www.youtube.com/watch?v=tTbuv_hBW7c

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi wa CCM "A" na CCM "B" wanapopata picha ya pamoja!

Waingereza husema a picture speaks a million words. Sijui hii picha hapo juu inakukumbusha au kumaanisha nini? Wapo waliovuma wakavumishwa na mwisho wakaishia kuwa wala makombo. Wapo waliopaa wakaishia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uhovyo wa Kikwete wazidi kufichuka

Rais Jakaya Mrisho Kikwete anaingia kwenye vitabu vya historia ya Tanzania kama rais wa hovyo sana anayeweza kudhalilishwa hata kutapeliwa kirahisi kwa sababu ya kutokuwa makini na kupenda sifa.Tangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete ateua fisadi mwingine kama ishara ya kulindana

Rais Kikwete akimwapisha Hilda Gondwe kuwa mjumbe wa Kamati ya Maadili ya Viongozi wa Umma ikulu Dar.Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Gondwe Ikulu.Uteuzi wa Hilda Gondwe aliyekuwa Katibu Tawala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukiwa na mindset kama hii jua hakuna nchi bali kusanyiko la panya au majuha

Kama kila mtu atafikiria kula mbona tutakulana kama inavyoendelea ambapo mfagiaji hudokoa kwenye eneo lake na rais humogola kila mahali. Je hawa wasio na meno wala uwezo wa kupanga kula kama vile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walevi wavunja radio ugeni wa Obama

   Tulimshambulia Black Obama, jamaa aliyewapagawisha wapenda sifa hadi wakajidhalilisha. Tulimpa `kanywaji’ na kushushia na utumbo na mapafu hadi akachanganyikiwa na kusema, don’t kill me with...

View Article
Browsing all 3175 articles
Browse latest View live