Congrats Kikwete on bankrupt politicians
President Jake Kikwete did something unique and fancy this time around. Boozers were elated in puzzlement so as to drink to death after hearing him take shots on divisive and bankrupt politicians who...
View ArticleValue Added Tomfoolery
Namna hii VAT itageuka sera ya watawala ya kukuza uchumi na ulaji wao. Je watanzania wataendelea kulikwa kienyeji na kila kibaka kila uchao kwa visiongizio vya Value Added Tax au Tax Added Value na...
View ArticleSikujua Obamiza ndiye mkuu wa Kaya!
“Ama kweli mgeni njoo wenyeji wakome waive na ikiwezekana waipuliwe.”Anaingia mgosi Machungi akiwa ameshikilia gazeti la Danganyika Daima mkononi. Inaonekana leo kimemkubali, maana huwa si mnunuzi wa...
View ArticleZiara ya Obama imetufumbua macho Tanzania si salama
Wapo wanaoona kuwa ulinzi mkali wa Rais Barack Obama wa Marekani ni jambo la kawaida. Wapo wanaoona kama ama ni uzembe wetu kama taifa au udhalilishaji. Jibu ni lipi? Tuangalie hali ya usalama nchini...
View ArticleExit Mohammed Morsi: Who Will Follow?
What transpired in Egypt recently tells a tall story of the future of the country. However, many wrongly thought that the deposed president Mohammed Morsi with his Islamic outfit was Egypt’s major...
View ArticleHappy Birthday Nelson Diba Mandela Madiba
I know you are bedridden. We all are praying that you get out of the hospital believing that miracles do occur. Being able to be alive up to your 95th Birthday is one of the miracles. Looking at how...
View Article16th Anniversary of our Marriage
Sixteen years ago my wife Nesaa and I ceased to be bachelors. We quit the camp and joined together in our nest. As year went by, we're blessed with six children. We thank Lord that for all those years...
View ArticleWalevi wamstukia El Dorado Desperado Luwasha
Baada ya ziara ya Rais Black Obamiza kuwabamiza `mkenge’ walevi kwa kuhalalisha ujambazi wa Richmonduli, alipofungua mradi wa Symbiosis bint Richmonduli bint Dowans bint EPA bint Luwasha, kikao cha...
View ArticleWanaume wabambikizwa watoto
Na Moshi Lusonzo 21st July 2013 Mkuu: Asilimia 48 siyo wa baba halaliMkemia Mkuu wa Serikali Nchini, amesema zaidi ya asilimia 48 ya wanaume waliojitokeza kupima vipimo vya vinasaba (DNA),...
View ArticleBetter or Bitter Life for all
When I deeply muse on how an arrogant and brutal cabal of hoity toity is tirelessly hoodwinking and dividing the hoi polloi of ill-fated Africa, like a bomb, I feel like exploding. I see a very fuzzy...
View ArticleKijiwe kuunda jeshi la kujihami
BAADA ya wachovu kuchoka na kuchoshwa na vipigo hata vifo vya ndata, kijiwe kimekutana kuja na suluhu mara moja yaani kuunda jeshi la kujilinda. Jeshi hili si la kujilinda tu bali hata kuwakabili ndata...
View ArticleTunatawaliwa na watu wa aina gani?
Hebu fikiri. Yaani tangu mwaka 1940 hadi 1994 mtu anachimba madini ya thamani tena kwa tani na anakwambia kuwa hapati faida nawe unakubali? Hii ni akili au kichaa? Je, anayekufanyia ushenzi kama huu...
View ArticleBila mkalimani hawa wamama wanaelewa kweli?
Mke wa rais Salma Kikwete akimsikiliza mke wa waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Cherrie Blair huko Hoyoyo. Kwa walioona picha ya kuwasili kwa rais Obama na mkewe jinsi Salma alivyosimama kama mpambe...
View ArticleChiwoniso hatunaye tena
Kwa wapenzi wa muziki jina Chiwoniso Maraire (Chichi) si geni kwao. Mwana mama huyu maarufu kwa kupiga chombo cha kienyeji kiitwacho Mbira huko Zimbabwe, alifariki jana kutokana na 'nyumonia'....
View ArticleHatimaye Masangu Matondo wa Nzuzullima ametoka mafichoni!
Wapendwa wasomaji wa blog hii nawaleteeni habari njema kuhusiana na rafiki yetu Masangu Matondo wa Nzuzullima ambaye amepotea ugani mwake yapata mwaka sasa. Nilishauliza hata kwa dada Yacinta kama ana...
View Article