Uhuru na usiri ni siri za mafanikio ya ndoa
Ndoa inapaswa kuwa huru na isiyotegemea au kuingiliwa na watu wengine katika uendeshaji wenu. Mliapishwa wawili tu na si mia mbili. Hivyo, jukumu na wajibu wa kutunza kiapo chenu ni lenu. Si la watoto...
View ArticleHamisheni mafisi, mafisadi au waanimo na si akina Yero
Kejaa enteipa inno? Jibuni kasidai endama, ai, maata enyemali. Keje ninye eninno. Kwanza, nimshukuru mheshimiwa Rais kwa kutuliza joto la Nrongonrongo. Huwa nashangaa mafyatu wanavyofikiri...
View ArticleKATIKA NDOA, USIHUKUMU KABLA YA KUJIHUKUMU
Tutaanza na kisa ambacho tulishuhudia kwa ndugu yetu mmoja. Huyu bwana, kuna kipindi alichishwa kazi. Hivyo, alianza kuamka kila asubuhi akielekea mjini kusaka vibarua ili mkono uende kinywani. Mambo...
View ArticleMpumbavu aliyevunja ndoa akiamini anaihami
Kuna kisa cha mwanandoa Gilombo (si jinale) tulichoshuhudia. Gilo hakujaliwa sura wala tabia nzuri. Alikuwa mzinzi wa kutisha aliyelazimisha ndoa kwa kijana handsome na mwenye nazo asiye na uzoefu....
View ArticleWoga, ukale, kujifyatulisha na kufyatuliwa
Juzi nilipata mstuko, mshangao, na masikitiko sina mfano. Nilisoma taarifa kuwa Kenya inafyatua takribani dolari bilioni tano toka kwa diaspora dhidi ya dolari bilioni 1.50 za uwekezaji. Kwa taarifa...
View ArticleI Cry fo Ambazonia and Darfur–––My baby
I Cry for Ambazonia and DarfurISBN9789956554935Pages150Dimensions203x127 mmPublished2025PublisherLangaa RPCIG, CameroonFormatPaperbackNEWISBN9789956554935Pages150Dimensions203x127...
View ArticleNdoa na vibabu, vibibi vya kizungu vijana muwe macho
Tunaona bibi wa kizungu na kijana MwAfrika uwanja wa ndege–––hatuutaji–––wakibusiana. Tumeamua kuandika haya juu utumwa kimapenzi ambamo waafrika ndiyo wahanga. Utumwa huu umejikita kwenye mapenzi...
View ArticleNdoa yako imejengwa kwa nguzo ngapi?
Ndoa inaweza kuwa nzuri au mbaya. Pia, ndoa inaweza kujengwa au kubomolewa. Wajenzi na wabomozi wa ndoa ni wanandoa. Ndoa, kama taasisi yoyote ina changamoto zake. Kuna kufanya makosa kwa sababu, kama...
View ArticleBarua kwa waliofyatuliwa na Tarampu
Kwanza, nawasalimia kabla kuwafyatua lau mfyatuke muwafyatue waliofyatua hadi mkakufyatuliwa na shida mkakimbilia kwa Tarampu aliyefyatuka na kuwafyatua. Nilimwandikia barua. Hajanijibu. Pili,...
View ArticleChunga usiolewe majuu ukidhani umeoa!
Kisa cha jamaa yetu toka tena kwetu Tanzania (mji hatutaji) kinafikirisha na kufundisha kwa wale ambao hawajaingia mkenge kama huyu bwana. Akiwa amesikia mazuri mengi juu ya kuukata kwa kwenda majuu,...
View ArticleNo reforms, no elections ilhali tushageuzwa na kuchakachuliwa!!
Mjini hakuna stori ya no reforms no elections, kwa kisambaa, hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi. Kwanza, sijui kama mafyatu waliofyatuliwa na shida wanaweza kufyatuka wakawafyatua wawafyatuao. Wapo...
View ArticleChunga yasikukute ya Aziz na ndoa ya majuu
Aziz ni kijana wa miaka 24 wa Kipalestina aliyekimbia udhalilishaji kwao akaishia kudhalilika majuu. Kisa cha Aziz kinafikirisha, kusikitisha, na kufundisha. Wapo wengi kama Aziz walioharibikiwa maisha...
View ArticleSasa Kanji nafyatuka nageuka fyatu dugu yangu!
Juzi natoka Bombei ona mama na toto. Iko furahi kuba sana. Naacha toto moja. Nakuta mama nakwisazaa toto sita. Yote faida. Nakaa Bombei. Woo! heva iko chafu veve hapana ona. Sikia tu. Nalala naota...
View ArticleTunashangaa, Tunashangazwa, na Kushangaza
Huwa nashangaa. Sijui kama nawe hushangaa kushangaza? Kama hushangai, unashangaza. Kama unashangaa, pia, unashangaza. Hata nami nashangaza kwa kushangaashangaa bila kufyatua. Huwa nashangaa kwa...
View ArticleTulifyatuliwa, tunafyatuliwa, tutafyatuliwe tena
Mwaka jana, Mkaguaji mkubwa wa njuluku za sirkal aka KAGO alitoa taarifa ya kuchefua baada ya baadhi ya mafyatu kufyatua mafyatu wote waliokataa kufyatuka wakafyatua wapigaji wakaishia kuufyata....
View ArticleShemeji, huwezi kumpiga mke wangu
Kisa hiki kinamhusu rafiki yetu. Siku moja, rafiki yetu alisimulia kuwa kulikuwa na mabishano juu ya suala la kifamilia baina ya mkewe na kaka zake wawili ambao ni mashemeji zake. Katika ubishi huu,...
View ArticleTusichachawe, kuchawishwa, tukachawishana
Kuna usemi wa hovyo. Kila nikiusikia, natamani nifyatuke na kuwafyua wadudu hawa wawe ni wadudu au ngurumbili waliofilisika kimawazo hadi kuwa hivyo walivyo hovyo. Msemo unaonichachefua na kunifyatua...
View ArticleWamefyatuka wanafyatuana mbele ya mafyatu!
Juzi tilishangaa sana. Mwe! Nani angeamini kuwa mafyatu wanene na wanono wangefyatukiana na kufyatuana hadharani? Unene kweli taabu japo una raha ya kula bila kutoa jasho! Si fyatu mmoja aliyekaribu na...
View ArticleUmuhimi wa Wanandoa Kutunza Siri
Kuna busara wakati wa kuwafunda wanawali katika jamii moja nchini Uganda isemayo kuwa wanapoolewa lazima wajifunze kufunga miguu na kufungua macho badala ya kufungua miguu na kufunga macho. Hii...
View Article‘Niite’ Fyatu Mfyatuzi Nchonga Kambarange Nyerere
Juzi nilimsikia tapeli na zwazwa mmoja akijita kitegemezi cha mzee Nchonga (RIP). Ajabu, nasi mafyatu wake tuliufyata tukafyatuliwa utadhani huu si utapeli. Haraka haraka, niliwasiliana na Madaraka...
View ArticleNapanga kuuza au kubinafsisha ubongo wangu
Sihitaji ubongo tena. Kwanza, umenifyatua nikafyatua wengine hadi wanatishia kunifyatua kwa kuninyotoa roho. Ubongo umesababishe kero na hatari hadi nikageuka machukizo ukiachia kujiudhi mwenyewe....
View ArticleTalaka na Madhara Yake
Tunajua fika kwa uzoefu wetu hata utafiti. Hakuna binadamu wala mwanandoa anayependa wala kushabikia talaka hata kama baadhi ya dini na sheria vimeiridhia kutokea ikilazimu. Hivyo, katika kipengee hiki...
View ArticleFyatu afyatua figa na fwakit kuhusu Kanada
Tangu nifyatukie Kanada, nimekuwa nashuhudia mambo ya ajabu toka kwa mafyatu. Wapo wanaoomba mialiko ili waje huku wagome kurejea kwao na kufanya niwatunze hadi nifyatuke. Wapo wanaonipiga mizinga tena...
View ArticleNitashinda urahis wa mafyatu kimiujiza na vishindo
Najua. Kaya yetu inafanya uchakachuaji, sorry, uchaguzi mwaka huu. Sambamba, nasi mafyatu tutafanya uchaguzi si uchakachuaji wa rahis wa mafyatu Mheshimiwa, Daktari, Profesa, ustaadh, Al haj, Muadhamu,...
View Articlenani kasema kitanda kinazaa haramu?
Kuna imani kuwa kitanda hakizai haramu. Uzoefu wetu unaonyesha kuwa kitanda kinazaa haramu japo uhalalishwa kwa visingizio mbali mbali kama mila, ujinga, na ubutu wa teknolojia. Ujio wa kipimo cha DNA...
View Article