Kuondoa kero ya gesi tumia geshi
Juzi mzee mwenzenu nilinusurika kutiwa nari na jamaa zangu nilipokuwa kule Ntwara. Si nilishinda Nanguruwe na kulala Nang’ombe. Baada ya kuuchapa ulabu kama sina akili nzuri niliamua kwenda zangu...
View ArticleViongozi vihiyo soma hii
Ingawa serikali ya Tanzania na rais Jakaya Kikwete wameziba masikio kuwatimua mawaziri wanaotuhumiwa kughushi shahada zao, nchi nyingine hazina mchezo na jinai hii. Hivi karibuni nchini Ujerumani...
View ArticleBunge lisivumilie wabunge wahuni
Taarifa za hivi karibuni kuwa wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walichapana kiasi cha kuumizana, kudhalilisha, kutishiana hata kuwekana ndani...
View ArticleMakinda: I love your style and stuff
Dear Anna, I’m afraid. I won’t call you Anne knowingly that at the time you’re baptized such braggadocios weren't at work like now. Forgive me for carrying you back to those dark times of Alikwina....
View ArticleIs Banda another disaster for Malawi?
H.E. President Joyce Banda P. CourtesyWhen current Malawi President Joyce Mtila Banda, then Vice President, ascended to power after the sudden death of Bingu wa Mutharika, many thought Malawi would...
View ArticleTusiruhusu bangi za akina Kashillillah Bungeni
Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Picha kwa hisani ya IPPMedia).Taarifa kuwa katibu wa Bunge Dk Thomas Kashillillah alipendekeza kuwa vikao vya Bunge...
View ArticleMaskini Tanzania inaangamia hivi hivi!
Mauji ya padre Evarist Mushi na yale ya mchungaji Matayo Kachila ni ushahidi kuwa ndoto ya amani na mshikamano inaanza kuyeyeka. Je ni kwanini watawala wetu wanafuga jini hili la udini wakati wakijua...
View ArticleJe wataka kuukata kirahisi?
Mambo kwa vyama, NGOs na diniNina mpango kamambe wa kuukata bila kukatika. Nina mpango wa kupeta kiulaini. Nina mpango wa kuanzisha ima chama au shirika kama siyo kampuni ya kuuza neno la Mungu ili...
View ArticleKikwete’ll shock many this time around
The other day presider J.M. Kikwete left bibbers in stitches. When he woke those stealing then selling medicine from public hospitals to private dispensaries will soon meet their waterloo if not...
View ArticleReckless investment another disaster for Africa
This week I was musing about two historical colonial and imperialistic atrocities which reminded me of the death of Chilean democratically elected president, Salvador Allende (1973) and that of the...
View ArticleSalma anapoufukuzia ubunge!
Siku hizi hatambulishwi kama mke wa rais bali mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM. Kwa wenye akili, uzoefu unaonyesha kuwa mama amenogewa ulaji na sasa anautaka ubunge hasa baada ya mumewe...
View ArticleTatizo lenu ni udini, uduni, uhuni au ujini
Kuna mchezo mchafu na hatari wa kuuana kwa misingi ya imani za kidini na ulevi. Umeniudhi kiasi cha kujihisi natetemeka kwa hasira. Na kama si kuheshimu sheria, n’shawanyofoa watu roho au kuwazaba...
View ArticleThanks Kashililah for flopping
There’s no time bibbers were openly all agog like the day Dr Tommy Kashililah, the clerk to the national assembly, recanted his bogey threats to shelve Bunge’s live coverage. Such freak-out brought a...
View ArticleKiashiria cha mauaji ya padri Zanzibar hiki hapa.
Hakuna ubishi kuwa mauaji ya padri Evarist Mushi yalijulikana kabla ya kutekelezwa kama alivyosema kardinali Polycarp Pengo. Pengo alikaririwa hivi karibuni akisema, “Tumekuwa tukipokea vipeperushi...
View ArticleVunja mbavu ya leo: Rais Salma ahenyesha wakuu wa mkoa wa Rukwa
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akisoma taarifa juu ya sekta ya afya mkoani kwake kwa Salma Kikwete mke wa Rais ambaye naye anapokelewa kama rais kila aendapo.Salma akizidi kuwahenyesha...
View ArticleKenyans must save Kenya
I must admit. I know Kenya’s Chief Justice, Dr Willy Mutunga as the man you can’t shake leave alone intimidate easily. I also know Mutunga as the power, among others, behind many changes that Kenya...
View ArticleOnce in 600 years!
Acording to vaticanisti, insiders and literati in the field, the resignation of Pope Bendict XVI once occurred 600 years ago. For many of us such a thing was a hidden treasure so to speak....
View ArticleHii kitu noma!
Hotel ndefu kuliko zote duniani, Marriott's Marquis Hotel Dubai yenye urefu wa futi 1099. Je wenzetu wameamua kuwekeza umangani kuepuka magaidi kushambulia mali zao kwa vile ndiko mazalia yao? Je hii...
View Article