Nadhani sasa Malawi na Rwanda wataache kiherehere
http://www.youtube.com/watch?v=aDci72DG9D4Kumekuwapo na chokochoko kati ya Malawi na Tanzania na hivi karibuni Rwanda. Rais Jakaya Kikwete alikuwa kimya kwa muda mrefu hadi juzi tu alipoamua kupasua...
View ArticleWalevi wampongeza `Jei Kei’ kuwakabili wanasiasa mufilis
Mwalimu Nkwazi Mhango.Japo wabaya wa Mkuu wanamuona na kumueleza kama mtu aliyeshindwa vibaya baada ya kuingia madarakani, walevi wanaona ana mfanikio tena ya kupigiwa mfano. Mfano, amefanikisha...
View ArticleRuling class or bullying class?
Bibbers are openly at loggerhead with the power that-be thinking they’re bullied in lieu of being ruled. They feel betrayed and vended by the same guys they gave ulaji. Such sentiments become a reality...
View ArticleJana ilikuwa Birthday ya Kamanda Nkwazi Jr.
Jana Kamanda Nkwazi Jr. alisherehekea mwaka wake wa kwanza. Si haba tulijumuika na kumkaribisha kwenye jamii ya kuhesabu miaka badala ya miezi. Taratibu ataanza kuachana na diapers na kufikiri kwenda...
View ArticleWabunge wanaojua wajibu wao
Hong Kong inasifika kwa wabunge wake kuzichapa. Hivi karibuni walilianzisha tena kwa kuchapana wakigombea maslahi ya wananchi wao. Laiti nasi tungekuwa na wabunge kama hawa wenye uchungu na wale...
View ArticleInakuwaje kufungua mashtaka kwa ajili ya Yesu ukashindwa kufungua kwa ajili...
Mwanasheria mmoja nchini Kenya ameacha watu vinywa wazi. Haijulikani kama ni mzima au mgonjwa wa akili au mtafuta sifa wa kawaida. Mwanasheria amefungua kesi kwenye mahakama ya Kimataifa ya Jinai...
View ArticleMlevi aja na MLO na sera ya Uhujumaa na Kujimegea
Ninajua wengi wanajiuliza MLO ni nini. Msikonde. MLO ni kifupi cha jina la chama changu cha Mlo Laini Organization, kilicholenga kuwakomboa bila kuwakomoa walevi baada ya kugundua kuwa sasa...
View ArticleCall it Bongo International Bwibwi Airport (BIBA)
When boozers read stories that Mwl Nyerere International Airport (JNIA) formerly known as Dar International Airport (DIA) has been turned into a drug conduit-cum-hub felt that something must be...
View ArticleSwaumu inaanza kupoteza maana
Hivi karibuni umetokea mtindo wa ajabu sana ambapo watu wasio waislamu huandaa futari. Imefikia mahali hata makampuni fisadi kama ya simu ambayo yanawapa watanzania huduma mbovu eti nayo yanafuturisha....
View ArticleKufuru hata mwezi mtukufu?
Baadhi ya wateja wa Airtel wakijichana futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo.MIMI huwa sipendi unafiki. Wasiojua kitu huita hali hii uswahili japo ni makosa. Nakipenda Kiswahili ila sitaki kinipende...
View ArticleHongera Kikwete, Tanzania isichezewe
KUNA usemi wa Kiingereza usemao, ‘extraordinary problems need extraordinary solution’. Hii imethibitika juzi pale Rais Jakaya Kikwete alipoamua kuwatolea uvivu wanaoota ndoto mbaya mchana kuwa nchi...
View ArticleDrums of War Between Tanzania and Rwanda Must Cease
Presidents Kikwete and Kagame share a light momentA few days ago, tension engulfed the whole East Africa region especially after presidents Jakaya Kikwete and Paul Kagame openly showed their...
View ArticleMlevi apanga kufanya biashara ya bwimbwi
Baada ya vyombo vya umbea kuripoti kuwa siku hizi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Mchonga unatoa nafasi kwa wauza bwimbwi kupitisha `kago’, mlevi nimekuja na mkakati mzito wa kujiingiza full...
View ArticleTendwa alikuwa msajili au mnajisi wa vyama?
<a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...
View ArticleOnly leaders with big heart can do this
Just imagine. You re in Dar and you call a taxi and the guy behind the wheel is Jakaya Kikwete. Put it this way. You are in Nairobi. You flag a taxi and the guy packing in front of you is Uhuru...
View ArticleAre we this balmy really?
Boozers have one major foe soon after swallowing. They face what I’ll call a “what ifs-only ifs-and-should haves” dilemma. “What if I did not drink yesterday?” Only if I did not swallow, I wouldn't...
View ArticleAngalia watu wenye akili wanavyopambana na janga la moto
Hivi karibuni uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya ulishika moto na kutekea pakubwa. Hata hivyo, kulikuwa na lawama kuhusiana na uchelewaji wa zima moto kufika na kuuzima moto ule....
View ArticleMtawala gani wa ki-Afrika anaweza kurejea darasani?
Chancellor wa Ujerumani, Angela Merkel ametoa mpya kwa kurejea darasani kufundisha historia ya taifa lake. Wakati wa maadhimisho ya 52 ya kujengwa kwa ukuta wa Berlin ambao kuangushwa kwake kulimaliza...
View ArticleHii akili au matope na ufujaji wa pesa na kuhatarisha maisha?
Tajiri mmoja wa kichina alikuja na mpya kwa kujenga mlima juu ya villa yake huko Uchina kiasi cha kulazimisha mamlaka za Uchina kumuamuru aondoe balaa lake. Usishangae kusikia matajiri uchwara na wa...
View ArticleKijiwe chamuunga mkono Mr Six juu ya viti maalumu
<a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...
View Article