Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Inaleta picha gani rais anapokutana na mateja huku akiwalinda wauza unga?

Rais Kikwete akiwa na mateja wastaafu ikulu hivi karibuni pamoja na Pili Misana na  Zakaria Hans Pope mfadhili wa kituo hicho.Mwaka 2006 rais Jakaya Kikwete bila kulazimishwa na mtu yeyote alisema kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rwanda can still talk to FDLR and move forward

Franz Fanon in the Wretched of the Earth said, “The last battle of the colonized against the colonizer will often be the fight for the colonized against each other.”Rwanda’s unrepentant refusal to talk...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je Mwakyembe anaweza kuwataja wauza unga?

Japo ni jambo jema kuwapa moyo wenzetu wenye uthubutu kama uthubutu wenyewe una ithibati, kitendo cha waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe kusema atawataja vigogo wa mihadarati ni changamoto...

View Article

Mlevi apanga kukutana na Mkuu Kiquette

Juzi mlevi alipata hard time, baada ya walevi wenzake kumzodoa kuwa yeye ni kibaraka. Unajua ilikuwaje? Tukiwa tunapata whisky vodka na Devil Ale 666 na `mipombe mingine’ ya bei mbaya na majina magumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sitta mnufaika wa Viti Maalumu aviita mzigo!

<a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Thanks Mwakiembe for naming no names

   Jokes aside, when Movement Minister, Dr Harris Mwakiembe told the whole world that he’d name names connected with drug pushing, I wrote on my blog: How dare you Mwaki to attempt to do what failed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Patakatifu pa patakatifu si kijiwe cha mateja

BAADA ya kijiwe kunyaka taarifa kuwa msanii mkuu alifanya kikao na mateja kukuu kama njia ya kuionesha jamii jinsi ya kupambana na bwimbwi, kilikaa kama kamati kulaani jinai hii. Maswali yalikuwa mengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

How do you like this?

Our high and mighty forgers will enjoy this. Again, why are we willingly and pointlessly sitting on this ticking bomb?  I can see hon. Joho has been mentioned to be the champion of  this crime in...

View Article


Mama anapopenda pesa kuliko watoto wake!

Tulizoea kusikia watoto wakiua wazazi wao ili kurithi mali zao hata ndugu kwa ndugu kutoana roho wakigombea urithi. Mama mmoja nchini Afrika Kusini aliicha dunia kinywa wazi alipotafuta muuaji ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlevi aanzisha Madudu Prize (MP)

Baada ya kugundua kuwa watendaji wengi wa lisirikali wanafanya madudu, mlevi amebuni mbinu nyingine mpya ya kuwapa moyo katika ufanisi wao wa kufanya madudu.  Kwa haraka haraka, naona bongo langu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chajadili kashfa za Ruanda

<a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

I totally concur with Rwanda

        Forgery’s currently a national calamity especially after the high and mighty made use of it to rob the boozers. The other day I went to the pub to swallow kanywaji. When I arrived there, I was...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenye jibu la swali hili atupe

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is Africa Becoming Moribund Academically?

We last month evidence a scandal in Kenya where it came to light that many graduate students were buying papers or hiring other people to do their papers for them. This anomaly was unearthed by...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kipanya na dege la rais linapogeuzwa gari la mkaa!

Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

View Article


Usanii, Mihadarati na madini first

Baada ya washindani wake kuja na usanii uitwao “Kilimo Kwanza” Kijiwe nacho kimekuja na sera yake ya kuukata na kuwakomboa wachovu. Waijua sera yenyewe? Simpo, inaitwa Usanii, Mihadarati na Madini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vasco da Gama yuko Austria kula mikuku wakati sisi tunasota!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlevi amhoji 'Festi Leidi' na `Festi Chaildi'

Baada ya kuhudhuria kuapishwa Rais Ufreedom Kinyatta, hapo mwezi wa nne, nilipata bahati ya mtende kualikwa tena kwenda kunywa chai na `Festi Leidi’ Maggie Uindependence Kinyatta na baadaye `Festi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Drug barons: Go tell it to the birds Luku-vi

  Seriously, Bill Luku-vi, Minister of State in the Big Minister’s Office (Policy, Coordination and Mjengo Affairs) who delivered his government’s mea culpa plea, baffled me. He’s quotes as sayings...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hebu angalia MPigs wenu wa viti maalum wanavyousaka ubunge kwa wizi na rushwa

Msomaji hebu angalia madudu haya ya wizi wa mchana unaofanywa na anayeitwa mheshimiwa wakati ni mwizi tu wa kawaida. Mbunge wa viti maalum Catherine Magige anatuhumiwa na kukiri kujipatia pesa kwa...

View Article
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live