Mpayukaji kuwaanika wauza bwimbwi hadharani
BAADA ya lisirikali kukiri kuwa lina majina ya wauza bwimbwi lakini halitaki kuwataja kwa vile wengine ni wahishimwa, mzee mzima nataka niweke wazi majina ya vigogo wa dawa za kulevya. Hivyo, wazee...
View ArticleKumbe Sugu sugu kweli!
Mheshimiwa mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr. Sugu akionyesha usugu na sugu yake wakati akitolewa mjengoni kindakindaki. Ukishangaa ya Kikwete utaona ya Sugu. Ukishangaa ya Makinda utaona ya...
View ArticleTaifa la mambo feki na mitumba
Hivi karibuni kumezuka uoza wa hali ya juu katika nchi yetu. Tumeshuhudia kukamatwa kwa askari wa traffic feki, wamilki feki wa sare za polisi na sasa daktari feki. Tuna mfumo feki. Tuna mawaziri na...
View ArticleMlevi ashukia `waishiwa` wezi na Foundations zao
Juzi wakati nikipita-pita kwenye mitandao na maeneo mengine ambapo ‘nyuzi’ huwa si siri, ‘niliinyaka’ ya mama mmoja mwizi muishiwa wa Chama Cha Mafisadi (CCM). Msichanganye hii CCM na ile...
View ArticleBongolalaland Bongo Bongo land boondoggle
It’s out of question. Our hunk’s become what British people call Bongo Bongo land (Bongo-bongo land) or screwed- up country. However, our all-time-lying politicos tell us that we’re in tiptop shape...
View ArticleEti watanibana hadi niwataje wauza bwimbwi
NIKIWA nadhani yamekwisha kumbe ndiyo yanaanza! Baada ya kuwayeyusha wanywa kahawa kwa sanaa za kutaja wauza bwimbwi na kutoka zangu mkuku baada ya kunizomea nilidhani mambo yamekwisha. Sikujua kumbe...
View ArticleICC who has no sin should be be the first to cast a stone
Although I believe not in the Bible, I like some of its wisdom. John 8:7 says, “He who is without sin among you can cast the first stone at her,” Jesus was responding to a mob justice that brought a...
View ArticleJe waweza kuamini kuwa binti huyu alimuua mumewe kwenye honeymoon?
Kisa cha kweli kimetokea nchini Marekani ambapo mwanamke Jordan Linn Graham aliamua kumuua mpenzi wake kwa kumsukumiza kwenye bonde wakiwa matembezini kwenye honeymoon yao. Ni kitu cha ajabu. Je...
View ArticleJe wamjua samaki huyu?
Kwa kimombo anaitwa Blobfish. Sijui kwa kishwahili anaitwaje. Ndiye kiumbe mwenye kutisha kuliko wote duniani. Hata hivyo anakabiliwa na tishio la kutoweka kutokana na uvuvi holela.
View ArticleUshirikina wa wazungu
Pamoja na kuita mila zetu za kishenzi na kishirikina, wazungu nao bado ni washirikina hasa ukiangalia baadhi ya mambo kama vile sikukuu ya Haloween na jinsi wanavyoogopa namba kama vile 13 na 666. Kwa...
View ArticleSafu ya mlevi ni moja, wengine matapeli
Walevi huwa tuna sifa na kanuni moja. Hatuna mila ya kuzunguka, kuzuga wala kumuogopa ngurumbili. Makala hii ni maalum kujibu uvivu wa kufikiri na ughushi nilioushuhudia kwenye chombo kimoja cha...
View ArticleWhen your leaders lead in evading tax
I waited for them to steadfastly and timely repudiate to no avail. Therefore, I've decided to go on air awakening you about their sin. As we confab, please read this quote that’s reported on 11th...
View ArticleKikwete na watu wake na mambo yake
Kikwete anapomteua balozi wa heshima Ahmed Issa pichani na mkewe Julin wakati mtu mwenyewe hata hajulikani. Je ni kujuana, ukuadi, uzembe na ukosefu wa umakini, dili au vipi? Sitashangaa nikisikia siku...
View ArticleKijiwe chashangaa mipasho ya Njaa Kaya
JAPO siku zote Mpemba ni mtu wa utani na bashasha, leo kuna jambo limemtatiza. Maana alivyoingia akiwa na ndita usoni, si haba. Kuna jambo tena kubwa tu. Anaingia akiwa anajifuta kijasho na kuamkua,...
View ArticleKatiba mpya, Kikwete mshinde shetani
HAKUNA ubishi kuwa Rais Jakaya Kikwete anakabiliwa na mtihani na kishawishi kikubwa. Hii ni baada ya kuridhia kuandikwa kwa Katiba mpya ya Tanzania baada ya kugundua kuwa katiba viraka ya sasa hailifai...
View ArticleTANZANIA: THE ‘GOODIES’ OF THE NEW DRAFT CONSTITUTION
INDEED, I was in a real cocktail party phenomenon as I mused about the goodies of Tanzania's new draft Constitution. I was over-delighted to note that things are moving. Unexpectedly though, who knew...
View ArticleHongera Kikwete kukabili mihadarati
Rais Jakaya Kikwete alikaririwa kuwa atapamba sorry atapambana na biashara ya mihadarati. Kwa mbinu ya Kikwete kula na kunywa na mateja huku akikalia majina ya wauza unga sijui nani anamdanganya nani?...
View ArticleIT ISN'T NEPOTISM, IT'S OUR TURN TO EAT!
MANY with jealousy especially those that regard themselves older than others are now schmoozing that we’re eating and our rule is bogus, archaic and is made of corrupt friends. Yes; we’re eating. This...
View ArticleMlevi akataa PhD watasha vinywa wazi
Wiki iliyopita ilikuwa ya zali. Chuo kimoja hapa Ukandani kilijipendekeza kwangu na kutaka kunipa PhD. Chuo hiki kilitumiwa na wabaya wangu waliotaka niwasukie ulaji kwenye shamba la bibi. Hivyo,...
View Article