$ 0 0 Mheshimiwa mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr. Sugu akionyesha usugu na sugu yake wakati akitolewa mjengoni kindakindaki. Ukishangaa ya Kikwete utaona ya Sugu. Ukishangaa ya Makinda utaona ya Ndugai.