$ 0 0 Kwa kimombo anaitwa Blobfish. Sijui kwa kishwahili anaitwaje. Ndiye kiumbe mwenye kutisha kuliko wote duniani. Hata hivyo anakabiliwa na tishio la kutoweka kutokana na uvuvi holela.