Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alex Massawe: Matajiri Uchwara, siasa za kijambazi na jinai

Taarifa za kukamatwa kwa mfanyabiashara mashuhuri lakini mwenye kutia mashaka nchini zinatufungua macho. Habari zilizokaririwa na vyombo vya habari ni kwamba Massawe alikamatwa nchini Afrika Kusini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nani ataibuka mshindi kati ya watumishi hawa wa mafisadi?

Hakuna ubishi. Kuna mgogoro unarindima ndani ya Chama Cha Mapiduzi tangu lilipoporomoka jengo la ghorofa 16 kwenye mtaa wa Indira Gandhi jijini Dar ambapo makundi ya kifisadi yanagombea maslahi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makinda: Nakuzimikia (You're my heroine)

Mpendwa Anna, Kwanza, nisamehe. Sitakuita Anne kama unavyopenda kuitwa. Tunaokujua twajua wewe ni Anna na si Anne. Enzi za Mchonga na zile za alikwina uliitwa Anna. Anne inasound kisomi kuliko Anna....

View Article

Will Jubilee’s ‘techno cabinet’ blip or flop?

If you ask me the above question, I’ll answer so-so or it depends or time will tell. For, running a country is a multipronged-cum-complicated task. Sometimes people need material stuff. The other...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ndiyo namna ya kupambana na uchakachuaji

Nchini Venezuela, wabunge wa chama tawala na wa upinzani walitoana ngeu wakigombea matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni ambapo chama tawala kilishindwa kwa mbinde. Venezuela ilifanya uchaguzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Museveni's succession ploy hits a snag

After Joseph Kabila (DRC), Faure Eyadema (Togo) and  Ali Bongo (Gabon) inherited presidency after the demise of their fathers, Ugandan strong man Yoweri Museveni started to dream big. For long,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafisadi wa kihindi na washirika wa mtoto wa rais waitikisa serikali ya Zuma

Mmojawapo wa Guptas akiwa na Duduzane Jacob Zuma (pichani)Baadhi ya maafisa wa serikali ya Afrika Kusini wamesimamishwa kazi ili kuchunguzwa baada ya kuruhusu ndege binafsi kutua kwenye kambi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jipendekeze kwangu upate ukubwa

 Salva Rweyemamu na Muhingo Rweyemamu (Pichani) ni mfano wa waandishi habari waliojipendekeza kwa Kikwete na kuula.Je tuendekeze matumbo yetu na kuua taaluma au tuache njaa ituume tuokoe taaluma?Akekho...

View Article


You are my strength by Roberta

Nawakaribisha kujiunga nami katika jumapili kwa kuburudika na dada huyu toka Zambia.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara za siri za Kikwete zina manufaa kwa taifa?

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mtawala wa Kuwait Amiri Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah wakipigiwa nyimbo za mataifa hayo mawili kabla ya kukagua gwaride rasmi mara tu alipowasili katika uwanja wa ndege...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa hili nampongeza Kikwete

 Baada ya watanzania kuhuzunishwa na shambulizi la bomu huko Arusha kwenye kanisa la kikatoliki huku wakilalamikia tukio la rais Jakaya Kikwete kufanya ziara nchini Kuwait bila taarifa, angalau...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nchimbi, why don’t you defend yourself first?

Bwana Emmy Nchimbi,Greetings,Forgive me. I’m afraid. I can’t refer to you as Dr Nchimbi just like those blessing forgery do. I don’t mean that you’re not a doctor. You might be a ‘doctor’ even a fake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanachopaswa kujifunza CHADEMA toka kwa Profesa Baregu

Habari kuwa profesa Mwesiga Baregu amekigeuka chama chake hadi kupongezwa na CCM (BONYEZA HAPA) si za kufurahisha ukiachia mbali kumuonyesha kama mchumia tumbo na msomi ambaye hakuelimika. Inashangaza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlipuko wa bomu na Boko-Al Qaida Tanzania ya Ilunga

Hii si mara ywa kwanza kwa blogu hii kushangazwa na namna serikali ya Tanzania inavyocheza na suala zima na uhuni na ugaidi huku ikichezea uhai wa watanzania. Imefikia mahali baadhi ya watu wanadhani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is it the beginning of the end of Museveni?

Recent revelations that Ugandan strong man Yoweri Museveni is grooming his son Major Muhoozi to take over after he leave office is a big blow. One of Museveni's inner sanctum army General David Sejusa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuvunje Muungano au tuungane kweli kweli

Zanzibar watataka serikali tatu kwa vile si mzigo kwao. Pesa ya kuendesha serikali ya Tanganyika haitatoka Zanzibar ingawa pesa ya kuendesha serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siku zote imetoka Bara....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

The Nile: Why is Egypt Agitated?

Egyptian president Mohamed Mursi’s rhetoric and threats can’t go without being reprimanded. Mursi was quoted as saying, "I confirm that all options are open to deal with this subject," He added, "If a...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mghorofa wa Udosini na mkangafu vyamtishia mlevi

 Si juzi mlevi nikajifanya mdosi kwenda kwenye mitaa ya udosini eti kusaka vidosho nisijue vidosho vya kidosi huwa haviolewi wala kuchukuliwa na walevi vinginevyo waende kusoma kule na kuvizoa kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Get ready to have a boozer president

Though the adage’s that no news is good news, this time around I bring good news for all boozers in Bongolalaland. After the New Constitution Draft came up with ingenuity of allowing an independent...

View Article

Kijiwe charejea toka vakesheni

<a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...

View Article
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live