Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sijui kama waishiwa wamelielewa somo!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi wakamata rais wa zamani

Kiongozi wa zamani wa Pakistan Parvez Musharraf alikamatwa jana  usiku nyumbani kwake nje kidogo ya mji mkuu Karachi. Musharraf anakabiliwa na mashitaka ya uhaini yaotkanayo na kusimamisha katiba ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nilialikwa kuapishwa Uhuru Kenyatta

Naona yule anacheka akidhani ni kamba. Soma ujue ilikuwaje. Kuarikwa Kenya unastuka ingekuwa kwa Obama si ungekata roho! Kenya ukiuliza imekuwaje, wanajibu ishakua. Seriously, nilialikwa na kushiriki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Natafuta mjenzi Bongo atakayenijengea ngoma hii

View Article

What Bongo boondoggle-cum- Bongo bondage!

In Bongo where brain’s used criminally, any doodle can get away with it. In this part of screwed up world, one may say: Self-help and boondoggling on public offices is the only thing venal creatures...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hekalu la Rwakatare lazidi kuitesa serikali

 Hekalu hili la bei mbaya lilipozinduliwa na Getrude Rwakatare aliyejipachika uchungaji wanaojua jinsi dini zinavyotumika ima kuwaibia maskini au kuficha biashara haramu walihoji. Baadaye zilitoka...

View Article

Minister and MPs arraigned for extortion in a foreign country

A Ugandan  Minister and two Members of Parliament were arrested by Indian police when they attempted to extort over $ 20,000,000 from an investor in Mumbai. Uganda authorities have kept mum saying that...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is Museveni becoming another Gaddafi?

News that Ugandan Strong man Yoweri Museveni doled out money to youths left many baffled.  Again, Museveni behaviour of dish thousands of Dollars out to those he chooses is not new to Ugandans who are...

View Article


Nimemkumbuka Leonard Dembo "Musoro we Nyoka"

Wapenzi wa Sungura hebu tujumuike pamoja kwenye kitu shiri ya  Kangwara Toka kwa Marehemu  Kwangwari Gwaindepi au Leonard Dembo mwanamuziki ambaye viatu vyake havijawahi kuvaliwa na yeyote nchini Zimba.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ghorofa laporomoka Bangladesh na kuua zaidi ya 80

Wakati watanzania wakionekana kusahau na kusuasua juu ya kuporomoka kwa ghorofa la mtaa wa Indira Gandhi, huko bara Hindi mambo yanazidi kuwa magumu. Mjini Dhakar nchini Bangladeshi limeporomoka na...

View Article

Kibanda ni nani? Wassira ni nani?

HAKUNA kauli imekera na kuhuzunisha wengi kama ile iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Steven Wassira aliyeuliza kwa kebehi kuwa ‘Kibanda ni nani?’Kauli hii itokanayo na upogo na ulevi wa...

View Article

Open Letter to M23

I must admit. My observation of the conflict between M23 and the authorities in the Democratic Republic of Congo (DRC) is of an outsider. So too, I must clearly say that I heard or read a letter you...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuwaunge mkono wakulima wa korosho walioamua kujikomboa

Si siri tena kuwa kondoo ameamka kiasi cha kumtembezea fisi mateke! Ingawa wakulima wa Tanzania wamekuwa wakitumika kama mtaji mkubwa wa kukiweka Chama Cha Mafisadi (CCM) madarakani, upepo umeanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalia watawala wetu wanavyotula

Kuna taarifa kuwa viongozi wastaafu wanatengewa pesa nyingi kuliko baadhi ya wizara. Hii imefichuliwa na vyombo vya habari hivi karibuni. Wengi huwa tunajiuliza, kwanini watumishi wengine wa umma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Doping even in animals!

We used to hear doping  that used to involve humans who wanted to win and make more money. Nobody would risk thinking that animals would dope just like humans. We still remember the famous doping...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tunaadhimisha siku ya kuzaliwa Muungano au Mgongano?

Imetimu miaka 49 tangu mataifa ya Tanganyika na Zanzibar kuungana na kuzaa Tanzania. Hakika miaka 49 si haba. Je tunasherehekea Muungano au Mgongano? Je watanzania bado wana hamu na hamasa na Muungano?...

View Article

Tuingie weekend na unyenyekevu

Nimeamua kuwakaribisha kwenye tafakari wakati tukianza weekend hii. Ingawa sitatoa tafsiri ili kila mtu atafsiri kivyake, nawakaribisheni kwenye kujumuika pamoja. Sikiliza wimbo huu toka Busokololo...

View Article


Jumapili nimkumbuka Okavango na N'kwazi Lodge Namibia

Tujumuike pamoja tafadhali.

View Article

Wapenzi wa anga angalia hiii

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Who’s Kibanda? Vs who’s Wasira?

Today we're interrogating the bunkum of who’s who especially in doing fatuous stuff of pointlessly self-dressing down. Nothing left me cheesed off like the Minister of State in the Presider’s Office...

View Article
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live