A day Kenya went to dogs
Although to vote for who they think they like is Kenyans sacred right, we need to look at the way this right was exercised. Being a sane person, firstly:I thought that other sane bin-Adams like me'd...
View ArticleArticle 1
LEO nakuandikia rafiki yangu Absalom Kibanda ambaye ulitolewa kafara siku za hivi karibuni. Yesu angekuwapo leo angekula Pasaka nawe.Kwani umebebeshwa mzigo wa dhambi za taaluma yetu. Ni bahati mbaya...
View ArticleRaila, take a leaf from Kibaki, Mandela, Reagan and Wade
It is now official that Raila Amolo Odinga, CORD’s presidential flag bearer, lost in the country’s general elections. The Supreme Court of Kenya in a verdict read by Dr Willy Mutunga, Kenya’s chief...
View ArticleFalling disgracefully from grace
Saif al Islam Gaddafi hundcuffed after being cornered by militants in Misurata.Today I've remembered Saif al Islam Gaddafi, the son and heir to Muamar Gaddafi former, Libyan tinpot dicatator. I've...
View ArticleJana nilikumbuka zama za Harare Zimba-za-mabwe miaka ya 94
Nilijikuta nikiwakumbuka Sungura Boys, Nyami Nyami, John Chibadura, Leonard Dembo, Tongai Moyo, Zhakata, System Tazvida na wengine. Acha nikuache na mkongwe kidevu Nicolas Zakaria, Alick Macheso na...
View ArticleGhorofa laporomoka na kuua Mumbai India
Hivi majuzi Tanzania ilisifika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 kwenye mtaa wa Indira Gandhi. Hata maiti za wahanga hazijaoza, jengo jingine la...
View ArticleDar- es- Zahama Tanzia
Tanzia, tanzia nakuhofu kwa moyo wote, Niamkapo nakuhofu wewe, Nilalapo ni shari yenyewe, Jina lako ni hofu tupu, Tanzia, tanzia nakuhofu kwa nguvu zote. Niendapo kwa majirani, Huning’ong’a mimi,...
View ArticleI’m Uhuruto, Kyukalenji from Kenya
After thinking about running for presidency in Bongolalaland to no avail, I've devised an easy way of making it to the state house. Firstly, I thought of changing my name to Riz Kiquette so that I can...
View ArticleMy cairn for Wahome Mutahi
Years have wound off since the ace Wahome Mutahi or Simba of Slopes and other aliases, kicked the bucket. May Ngai award him much fun? Ni wega muno Ngai witu. I can't wait till July 22 the day Wahome...
View ArticleKumbe sidiria hasaidii manyonyo kuinuka!
Watafiti nchini Ufaransa wamekuja na mpya baada ya kugundua kuwa kumbe imani kuwa kuvaa sidiria zenye kubana manyonyo zinayafanya yasianguke. Utafiti ulichapishwa hivi karibuni umeonyesha matokeo...
View ArticleMfalme, mwana wa mfalme na malkia wanapohudhuria kuapishwa mwana wa mfalme...
Mfalme Jakaya Kikwete, Prince Ridhiwan Kikwete na Malkia Salma Kikwete walipohudhuria sherehe za kuapishwa mwana mwingine wa mfalme Uhuru Kenyatta kule Kenya (pichani). Ajabu Ridhiwan anasimama safu...
View ArticleHii ni miujiza kwa wasafiri wa anga
Ajali mbili za anga katika nchi na mabara tofauti zinafanana kwa kitu kimoja au viwili hata zaidi. Kwanza, katika ajali hizi abiria wote walitoka salama. Pili, ndege zote ziliishia majini. Tofauti ni...
View ArticleWas Maggie Thatcher a witch?
When the world woke up to hear that a section of British people staged a demo happily singing, rejoicing and celebrating the passing on of their former PM Margret Thatcher, it received it with mixed...
View ArticleEti anatafuta mchinjaji wa kitimoto!
Kuna watu wachokozi na wabishi duniani sina mfano! Hayo hapo juu si maneno yangu bali mlevi mmoja anayejiita mwana falsafa wa kizazi hiki. Bwana huyu, licha ya kuwa mlevi, huibua hoja zenye kufikirisha...
View ArticleAre Air travelers safe and what is the answer?
How did you feel when you read news that anybody can easily hacker into plane computer and set it even on the collision course? Firstly, I thought it was a prank little knowing it was true! I am trying...
View ArticleTanzania imebakwa na CCM na vikaragozi na vinyamkera wake
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewashika pabaya baadhi ya vigogo wa serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vikaragosi vyao wanavyotumia toka Usalama wa Taifa (TISS) ambayo imegeuzwa...
View ArticleMkapa, are you seriously or what?
Former presider Benny Mkapa sickened boozers when he chided Jake Kikwete’s government to adhere to Nyerere’s legacy--- accountability, responsibility, vision and fighting graft among many. Mkapa...
View ArticleMtoto wa rais wa zamani Wade akamatwa
Mamlaka nchini Senegal yanamshikilia mtoto wa rais wa zamani wa nchi hiyo Karim Abdulaye Wade kwa makosa mbali mbali yahusianayo na ufisadi, wizi wa fedha za umma na kujilimibikizia mali kinyume cha...
View ArticleWajue maadui wakubwa wa taifa la Tanzania
Hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliamua kuwaanika magaidi wa kitanzania wanaolindwa na serikali ambayo nayo inaonekana kuwa ya kigaidi. Hii ni baada ya CCM ikishirikiana na...
View ArticleICC and Kenya: Museveni Got it Wrong
The HagueI will be shocked if the legal fraternity in Kenya and East Africa in general won’t react towards recent salvos leveled by Ugandan Strongman Yoweri Museveni. Museveni’s recent attacks on the...
View Article