Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3175

Ghorofa laporomoka na kuua Mumbai India

$
0
0


Hivi majuzi Tanzania ilisifika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 kwenye mtaa wa Indira Gandhi. Hata maiti za wahanga hazijaoza, jengo jingine la ghorofa saba limeporomoka mjini Mumbai India na kuua watu wengi.
Je kuna uhusiano wa ujenzi baina ya Tanzania na India? Bila shaka hasa ikizingatiwa kuwa mmilki wa jengo la Indira Gandhi alikuwa mhindi. Hii maana yake ni kwamba tunaanza kuingiza biashara chafu toka India baada ya kuwaachia watu wenye asili ya huko kumilki karibu biashara zote wakiwemo viongozi wetu. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3175