Nilijikuta nikiwakumbuka Sungura Boys, Nyami Nyami, John Chibadura, Leonard Dembo, Tongai Moyo, Zhakata, System Tazvida na wengine. Acha nikuache na mkongwe kidevu Nicolas Zakaria, Alick Macheso na ngoma yake poa ya Tsamba. Mkipiga Pantsula na kulichanganya na sungura kupata Musoro wa Nyoka mkumbuke Avondale, Borrowdale kwa wanene na kwingineko jijini Harare binti Harara. Jumuikeni basi na kuserebuka na kitu cha Zaka Zaka.
↧