
Mfalme Jakaya Kikwete, Prince Ridhiwan Kikwete na Malkia Salma Kikwete walipohudhuria sherehe za kuapishwa mwana mwingine wa mfalme Uhuru Kenyatta kule Kenya (pichani). Ajabu Ridhiwan anasimama safu ya mbele huku watumishi wa baba yake waitwao mawaziri wakifyata mikia nyuma yao! Jamani hii ni itifaki gani kama siyo kuendekeza utawala wa familia?(Picha kwa hisani ya Michuzi blog).