Kijiwe chataka wachovu waingie mitaani
Baada ya kushuhudia mazingaombwe, ngonjera na mizengwe kuhusiana na kashfa ya escrew ambapo wachovu have been screwed, Kijiwe kimeamua kuhamasisha wachovu kuingia mitaani ili kujikomboa vilivyo once...
View ArticleEscrow imefichua utawala na mfumo vya kijambazi
Mazingaombwe yanayoendelea ambapo watawala wanataka kujinasua kwenye kashfa itokanayo na ufisi na ufisadi yamefichua uoza wa mfumo, utawala na taasisi zetu. Bila shaka, yamefichua aibu ya...
View ArticleEscrow-IPTL: CCM wanamhadaa nani?
Si kupiga chuku. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimo kwenye hali mbaya tokana na kukumbwa na kashfa ya wizi wa mabilioni ya umma toka kwenye mfuko wa escrow. Kinachoshangaza ni ile hali ya CCM kutaka...
View ArticleMkiwa na watawala hamnazo matatizo matupu!
Waziri wa Fedheha, sorry Fedha, Saada Mkuya akisaini mkataba wa makabidhiano ya shilingi bilioni 45 na mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Saudi Arabia Hassan al Attas jijini Dar. Inashangaza nchi...
View ArticleWananchi wanyang'anyeni polisi kadi za CCM
Japo kinaweza kuchukuliwa kirahisirahisi na kitendo cha kawaida, kitendo walichotenda polisi kule Kyerwa mkoani Kagera ni cha aibu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) serikali na jeshi la polisi kwa ujumla....
View ArticleHii imenichefua na kunichafua
Kama wangetaka kututendea haki basi wangehukumu na wote waliowezesha dili hili kuanzia serikali iliyojifanya kutojua wakati wakubwa zake walishiriki kikamilifu.. Huu ni uchavda mwingine. Mnakumbuka...
View ArticleMlevi alazwa Manzese kuchunguzwa ubongo
Baada ya Mlevi kukabiliwa na hasira, sononi na mfadhaiko vilivosababishwa na kashfa zilizotamalaki kayani, amekutikana na ugonjwa wa sononi kiasi cha kulazwa kwenye hospitali ambayo ni siri kubwa eneo...
View ArticleGo tell it to the birds Muhongo
The other day I heard a good Prof Sossie Muongo, sorry, Muhongo who is also alleged to have scooped our dosh under IPTLescrow project adding pepper to injuries. He told the Hishimiwas that they’re not...
View ArticleUnapotimiza miaka 53 ukiwa katika hali hii tafakari!
Je hiki kibonzo ni utani au ukweli? Ni mtanzania gani anaweza kusema hayuko hivi? Kama hauko hivi basi ndugu, majirani hata ndugu wa ndugu wa ndugu zako hata marafiki wa marafiki wa marafiki zako wako...
View ArticleKijiwe chataka wahukumiwe waliotorosha wanyama
Baada ya waishiwa kulipua kazi ya kuwalipua majambawazi wa escrow, Kijiwe, japo hakikuridhika na hukumu ya waishiwa, kimeamua kusonga mbele kwa kushguhulika na wengine ambao hawajashughulikiwa. Wiki...
View ArticleEscrow: Tumeahirisha tatizo “kumalizana”
Ukichunguza kwa makini jinsi sakata la kashfa ya escrow “lilivyomalizwa’ kimizengwe, haraka na kulindana, utagundua mapungufu mengi. Bunge, pamoja na kujivuvumua kuwa limefanya kazi pevu ya...
View ArticleViongozi wa dini na kujikomba kwa rais
Rais Jakaya Kikwete akiwa pichani ikulu pamoja na baadhi ya viongozi wa dini waliokwenda kumuombea baada ya kurejea toka kwenye matibabu ya kansa ya kizazi huko Marekani. Inashangaza viongozi wetu wa...
View ArticleIPTL: Uhuni huu hadi lini?
Vyombo vya habari viliripoti hivi karibuni kuwa kampuni tata ya Independence Power Tanzania Limited inayotuhumiwa kuliibia taifa zaidi ya shilingi bilioni 200 ilifungua mashtaka...
View ArticleKuombea taifa au kuganga njaa?
Baada ya ufisadi na ujambazi kulipa, umezuka mtindo mwingine mpya wa wasaka tonge kula kwa kujifanya wanajali taifa. Hapo juu ni waganga njaa wanaojificha nyuma ya dini za kuzua eti wanapanga kuombea...
View ArticleArticle 0
Najua wengi walisherehekea zaidi ya nusu karne ya udhuru, sorry, uhuru. Kwa mlevi haikuwa sherehe kitu bali kumwaga michozi na kuungulia utadhani mamisap wake amerejesha namba. Baada ya kupiga mibangi...
View ArticleCancer: Is the monarch cancer free really?
When Jake Kiquette let drop the bombshell that he concealed prostate cancer for years, boozers were shocked, upset and downcast. As he, proudly and confidently, proclaimed to the hunk that...
View ArticleAliyeghushi vyetu kuanzisha mfuko wa Elimu!
Balozi wa Tanzania nchiniUbelgiji anayedaiwa kughushi shahada ya Udaktari Deodorus Kamala akitangaza kuanzisha mfuko wa kuwazawadia wanafunzi wenye vipaji. Watawala wetu kwa unafiki hakuna mfano. Je...
View ArticleCSO STATEMENT: Power sector fraud tests the Tanzanian government’s integrity...
Following the recent tabling and discussion of the Controller and Auditor General's (CAG) report on the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) Tegeta Escrow Account (TEA) in parliament and the...
View ArticleAfrica and Bedroom Democracy
Grace Marufu Mugabe, former personal secretary in the office of president with whom President Robert Mugabe had an affair even before the death of his terminally-ill wife Sally Hayfron is the...
View Article