Dk., Prof, alhaj Mpayukaji alazwa kuchunguzwa ubongo
Baada ya Prof., Dk., Alhaj, Sheikh, Kanali, Ustaadh, Mtukufu, Maulana Mpayukaji Msemahovyo kukabiliwa na hasira, sononi na mfadhaiko vilivosababishwa na kashfa zilizotamalaki kayani, amekutikana na...
View ArticleTunapoadhimisha miaka 53 ya Udhuru!
Kila Desemba 9 kila mwaka Tanzania huazimisha siku ya uhuru wake. Ni siku ya kutafakari tulipotoka, tulipo na tuendako. Kwa wenye kufuatilia historia ya taifa, watakubaliana nasi kuwa uhuru wetu...
View ArticleNenda Werema
Nenda Fredrick Werema nenda. Nenda jaji junk. nenda jaji janga. Nenda tu umenyea kambi.Nenda wala usiangalie nyuma. Nenda tu mwanakwenda. Msiba uliotuachia ni mkubwa. Nenda ukaajiriwe na PAP na VIP...
View ArticleTibaijuka kitoe acha uhuni
Picha kwa hisani ya gazeti la MtanzaniaWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Tibaijuka anachekesha. Amechemsha na anaonekana kuishi katika ndoto. Kwanza ni muongo na fisadi tokana na...
View ArticleAnna Tibaijuka unangoja nini?
Anna Tibaijuka akisakata ngoma ya kihaya na James Rugemalira baada ya kumkatia shilingi bilioni moja na nuka sita (A day Tibaijuka danced with the devil)Anna Tibaijuka akimsomesha Rugemalayer ili akate...
View ArticleJe Tibaijuka ni kafara ya mwaka ya Kikwete?
Japo Profesa Anna Tibaijuka waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipaswa kutimuliwa, hakupaswa kwenda peke yake. Kama kawaida yake, bingwa wa sanaa za mazingaombwe Jakaya Kikwete...
View ArticleIndependence Day of dependence
I know. Many danganyikans spent Dec., 9 eating chickens and drinking for their peril under the so-called Uhuru or Independence Day. For boozers, it was totally different. What’d they celebrate if at...
View ArticleMlevi amshauri Obama amheshimu dingi wetu
Pamoja na mibangi na ulabu wangu, huwa ni mpenzi wa rais Brack Obama wa kwa Joji Kichaka. Namhuhusudu kwa jinsi alivyopenya ubaguzi wa kunuka kuanzia kule Furgson Missouri hadi New York ambako...
View ArticleWe wish you Merry X-mas and Happy New Year 2015
Dear Readers, Follower, Fans and Sympathizers,Once again, we are blessed and elated to wish you Merry Xmas and New Spiffy Year 2015. We hope. The year will be full of pleasure. Let it be the year...
View ArticleSomebody sent this on Kikwete
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he...
View ArticleKijiwe chamuaga Werema kwa mipasho!
Mgosi Machungi anaingia huku akiimba kana kwamba ana mtu wake anayempa vipande vyake. Anaamkua bila kujali na kuendelea kuimba, “Nenda Fedick Weeema nenda. Nenda jaji junk. Nenda...
View ArticleUwendawazimu wetu, ufisadi na wafadhili
Si uchochezi kusema kuwa watawala wetu wameshindwa, tena vibaya sana. Ni aibu kwa taifa ambalo limesherehekea miaka 53 ya uhuru kushindwa kufanya maamuzi magumu hadi lishinikizwe na wafadhili. Tishio...
View ArticleZawadi yangu bora ya Krsimas
Huwa napokea zawadi nyingi na mbalimbali wakati wa Krsimas. Mwaka huu nimepokea zawadi ambayo imenifurahisha kuliko nyingi nilizowahi kupewa. Nimefurahi kiasi cha kushindwa kujizuia kuiweka hapa...
View ArticleNukuu mbovu za mwaka 2014
“Watanzania tumejaa ubinafsi, kila mtu anafikiria kila anafanya jambo anategemea kupata posho, na niwahakikishieni mimi sina uchu wa ubinafsi wala tamaa za vyeo kwani kama ni cheo nilichoacha UN...
View ArticleMlevi aomba ateuliwa mwanasheria mkuu
Baada ya jamaa yetu tuliyemtonya kuwa alivyokuwa akifanya sivyo, jaji Freddie We-rema kuachia ngazi kwa aibu na kuzomewa, mlevi anataka kuomba ateuliwe kuziba pengo lake ili aisafishe kaya. Japo huwa...
View ArticleGo Tibai-juka go
Prof Annae Kajuamlo Tiba-ijuka former minister for Lands, Housing and Human hoo-ha is a very interesting character. She’s offered a whopping 1.6 billion dafus from the guy who called 75 million bucks...
View Article