Balozi wa Tanzania nchiniUbelgiji anayedaiwa kughushi shahada ya Udaktari Deodorus Kamala akitangaza kuanzisha mfuko wa kuwazawadia wanafunzi wenye vipaji. Watawala wetu kwa unafiki hakuna mfano. Je hii pesa siyo ya escrow iliyosambazwa na James Rugemalayer? Kama anaipenda elimu kwanini alighushi? Je ni unafiki kiasi gani?