Kijiwe chajadili IpTL
BAADA ya kushuhudia hila, ghilba, minyukano na mizengwe kuhusiana na sakata zima la wizi wa fedha ya wachovu chini ya kashfa ya Esrew uliofanywa na baadhi ya wanene wasiogusika, Kijiwe kimeamua...
View ArticleVisa vya marais wetu kutibiwa na kufia nje
TAARIFA kuwa Rais Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume au busha (Prostate) bila shaka zilistua wengi kama si wote. Wengi hawakujua, ama walifichwa ukweli kuwa Rais anaumwa. Hawajui ukubwa...
View ArticleNimemkumbuka gwiji West Nkosi
Wapenzi wa penny Whistle ungana nami kumukumbuka marehemu West Nkosi (MPBH) kwa kibao hiki mulua.
View ArticlePlease join me in praising Jah Almighty
Kwa wanaokumbuka hii ngoma nadhani watakuwa wamepata kitu roho inataka hasa usawa huu ambapo sanaa imegeuka ubabaishaji mtupu ukiachia mbali magwiji kuzidi kulala. Japo huu wimbo si wa The Gladiator...
View ArticleMlevi afanya utafiti kuhusu uchaguzi ujao
Baada ya kuona wengine wakija na matokeo ya utafiti wao ambao wapinzani wao wameyaita mazingaombwe waliyopachika jina la utafiti wakati ni utafutaji mlo toka kwa mafisadi wanaotaka kugombea urais...
View ArticleWho wants educated MPs?
Knowing how our hunk doesn't need sophisticated mortals --- it is hard to rule and bulldoze even dupe them--- Constitution Assembly (CA) otherwise known as Constipation Assembly came up with a very...
View ArticleKijiwe chalaani majanki yaitwayo majaji
Baada ya mhishimiwa mmoja ambaye ametokea kuwa mpenzi na shabiki wa kijiwe kututonya kuwa matwahuti ya lisirikali na Chama Cha Mafisi na Mafisadi (CCMM) wanasuka mbinu ya kutumia mapilato kuzuia kijiwe...
View ArticleIPTL: Nani awajibishwe kati ya Pinda na Kikwete?
Mengi yameishaandikwa na kusemwa kuhusiana na kashfa ya wizi wa fedha za umma toka Benki Kuu (BoT) chini ya mfuko wa Escrow. Kashfa hii licha ya kunakera, inachefua, ni aghali, imegharimu taifa...
View ArticleBarua ya wazi kwa wabunge wote
Waheshimiwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,Bila kujali itikadi au mafungamano yenu, kwanza nawasalimu kwa jina la ukombozi wa taifa hili.Pili nawasiliana nanyi kwa njia hii ili kuweza...
View ArticleLaiti wote tungeona madudu ya Kikwete hivi!
Kikwete hawezi kushindwa yote hata pozi kwenye dege bovu la bei mbaya ambapo walipiga pesa kama escrow
View ArticleMlevi kuwa-Compaore waliotu-escrow
Jambazi Blaise Compaore aka Ebola alipotaka kubadili katiba ili agombee mara nyingine kinyume cha sheria, walevi wa Burkina Faso hawakumkawiza zaidi ya kumdondosha. Hebu fikiria. Kama...
View ArticleLesson learned from Chinese ivory saga
Though it may be taken as a mere scandal, allegations that the president of China’s jet carried tons if not hundreds of kilos tarnished our image. Again, when did it begin? Boozers have some...
View ArticleKikwete azidi kuwatoa kafara wenzake akiendelea kutesa
Uamuzi wa Bunge kuwashughulikia mawaziri na wabunge wachache ni pigo kwa uwajibikaji tanzania. kwa mara nyingine, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake wamefanikiwa kuwaingiza mkenge watanzania...
View ArticleHii nayo imekaa vipi?
Baada ya kunusurika kukumbwa na maji, JK atakuwa anachekelea ujinga na papara za bunge letu na upinzani kwa kushindwa kushughulikia serikali nzima wakaridhika na kafara ya vijidagaa. Uamuzi hafifu na...
View Article