Nimeipenda hii kitu
Badala ya jeshi kulinda umma linalinda ufisadi siyo? Je hili jeshi ni la nani? Kuna haja ya kwenda Burkina kujifunza jinsi ya kukomesha uchafu huu haraka sana. Ajabu, wakati jeshi likilinda uoza,licha...
View ArticleKuepuka rushwa Miss Tanzania iandaliwe na wanawake
Japo huwa si mpenzi wa michezo, leo nitadurusu mashindano ya kutafuta miss Tanzania ingawa kinadharia ni hivyo na kivitendo ni miss mzungu. Baada ya kumalizika kwa kinyang'anyiro cha kumtafuta miss...
View ArticleMevi atia timu Burkina kumung'oa dikteta
Kutokana na urafiki na udugu wa Mlevi na marehemu Thomas Isidore Sankara, Rais wa zamani wa Burkina Faso wiki iliyopita Mlevi aliamuru kwenda kutia timu kule Burkina ili kutia shime mapinduzi...
View ArticleUgogoro wa afya ya Kikwete tunafichwa nini?
Kikwete akiongea na dk Bingwa wa upasuaji kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuajiTaarifa tulizo nazo toka kwenye mitandao ya rais Jakaya Kikwete na si kwenye magazeti ya serikali ni kwamba rais...
View ArticleMr President: Presidency’s not a hard job
Sometimes some politicos talk as if those they address are halfwits or have lost their memories. Recently, President Prof of herding goats and bovine, Jake Kiquette left boozers in stitches. He’s...
View ArticleDo you know which son of president own this porsche?
Sweat it not. This expensive toy belongs to HE Duduzane Jacob Zuma the son of the president of South Africa HE. Mr Nkandla Scandal. This is they typical replica of the types of the machines the kids of...
View Articleijiwe chalaani uhuni dhidi ya Warioba
JAPO nguli Jose Shinda Warioba si mwanakijiwe wetu, huwa tunamzimii hasa kwa utaua na usafi wake ukiachia mbali ujasiri wake wa kupambana na ufisadi na ushenzi hasa uchakachuaji wa Katiba. Hivyo, leo...
View ArticleKashfa rais wa China kusafirisha vipusa ikulu ijilaume yenyewe
KASHFA ya ndege ya Rais wa China, Xi Jinping kusafirisha pembe za ndovu haikushangaza wengi. Wengi walitegemea hili hasa kutokana na mambo yanavyofanya nchini. Baada ya vyombo mbali mbali vya habari...
View ArticleZinjanthropus Makamba, dijitali na ndoto za ufalme
Katibu mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuf Makamba alitoa mpya baada ya kuwakandia watu wanaotaka kugombea urais kwa kumpigia debe mwanae asijue anajikandia pia. Makamba alikaririwa...
View ArticleNape sera za wapinzani zinakuhusu nini?
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ni kijana anayefikiria kikale. Siwezi kusema anafikiria kizee hasa ikizingatiwa kuwa kuna wazee wenye akili zinazochemka kuliko vijana tena wanaojiita...
View ArticleMlevi aazimia kuanzisha operesheni kuwasachi vigogo Airport
Baada ya vyombo vya umbea duniani kuhanikiza kuwa Rais wa Chaina aliingia Bongolalaland na kuondoka na shehena ya vipusa, Mlevi amekuja na jibu la kukomesha unoko na umbea huu. Kwanza, pamoja na ulabu...
View ArticleBoozers to boycott the new constipation
Now it is official. Chama cha Maulaji (CcM) has decided to bulldoze boozers and danganyikans. It was recently announced that the vote for passing their thing aka new constitution of constipation is...
View ArticleUhuni dhidi ya Warioba mbona ikulu inajichanganya?
Taarifa iliyotolewa na ikulu baada ya kuchelewa muda mrefu kuhusiana na sakata la kuvamiwa na kutaka kupigwa kwa waziri mkuu wa zamani Jaji Joseph Warioba, zinachekesha. Hivi Katibu Mkuu...
View ArticleKumbe na wanasiasa wanatapeliwa!
Askofu wa kujipachika wa dhehebu la Good News for All Ministry Charles Gadi wa pili kulia pamoja na mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi kwenye maombi ya kumwombea rais Jakaya Kikwete anayetibiwa...
View Article