Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii nayo imekaaje?

 Ina maana kuna akina Rweyemamu wengine ambao hawajatosheka siyo? Kila mtu anataka kulipwa fadhila. Sasa wangoje jamaa aende kuchunga mbuzi huenda watafadhiliana huko kwa kupewa japo mananasi kama si...

View Article


Mlevi kuanzisha IpTL yake

         Baada ya kugundua wadanganyika wanavyodanganyika na kuibiwa kirahisi kwa kusalitiwa na wakubwa zao, nami nasukuti kuanzisha Independent perfidy Thuggery Limited aka Interdependent papa...

View Article


Why’s Mr Head mum on IPTL?

         President Jake Kiquette’s house’s on fire. The source of fire’s nothing but Independent perfidy and Thuggery Limited aka Interdependent papa and Tumbili Limited (IpTL). Donors have recently...

View Article

MISS UMEME 2014 SCANDAL UNFOLDS!

             The organisers of Miss Umeme Tanzania, Dar-based event promoters VIP (Latrines) Ltd, have strongly denied that corruption was involved in this year’s competition. Tanzanian social media...

View Article

Hebu angalieni ubaguzi wa wahindi kwa waafrika

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chalaani upogo wa vigogo

LEO Mgosi Machungi anaonekana ana usongo na jambo. Alivyoingia mwenye mawazo, si bure. Baada ya kujiridhisha kuwa ni wakati muafaka kusema linalomsimbu, anaangalia huku na kule kujihakikisha kuwa wote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete urais si kazi ngumu

WAKATI mwingine baadhi ya wanasiasa huongea vitu visivyoingia akilini kana kwamba wanaowasikiliza hawana akili za kutosha au wenye kufikiri sawasawa. Hivi karibuni, akiwa nchini China, Rais Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jana nilipokea kitabu cha Dk Sengondo Mvungi

Japa nilipokea nakala ya kitabu juu ya marehemu Dk Sengondo Mvungi Breathing the Constitution toka Tanzania. Kilitumwa na Kituo cha Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre-LHRC). Kwa namna ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je araobaini ya Blaise Compaore imefika?

Hali ilivyo ni kwamba Blaise Compaore imla wa taifa maskini la Bukinabe amefikia arobaini yake. Compaore alichukua madaraka mwaka 1987 baada ya kumpindua na kumuua rafiki yake rais Thomas Sankara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bye bye Compaore as you wait to be brought to book

The reports we have are that former Burkina Faso strong man Blaise Compaore has resigned. If anything, this is good news for peace lovers. Compaore found himself in the hot soup after  conspiring with...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nimependa hii kitu

Hivi kweli huu ni urafiki wa kweli au gea ya kuutaka urahisi? Ama kweli wanasiasa ni viumbe wa ajabu sana. Nani alidhani mafisadi wangebebana kama msanii anavyowaona? Kwa vile wote ni wasaka tonge,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlevi ampongeza Kikwete kumuokoa

         Baada ya rais Jakaya Kikwete kueleza “ugumu” wa “kazi” ya urais japo urais si kazi kwa vile hakuna aliyeisomea, Mlevi ameamua kuachana na ndoto za kugombea urais kama alivyokuwa ameahidi hapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Why’s Mr Head mum on IPTL?

         President Jake Kiquette’s house’s on fire. The source of fire’s nothing but Independent perfidy and Thuggery Limited aka Interdependent papa and Tumbili Limited (IpTL). Donors have recently...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii kitu nimeipenda kuhusu uroho na ufujaji wa wafalme wetu

Kiongozi wa kiafrika anaeyeishi kwenye kisiwa cha ukwasi katika kati ya bahari ya umaskini.Chanzo: Daily Monitor

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi wanavyoshabikia hongo ya fisadi

IGP wa zamani Philemon Mgaya akiteta na fisadi jingine la IPTL James Rugemalira kwenye maadhimisho ya kutimiza miaka 85. Hii maana yake ni kwamba hawa jamaa ni marafiki wa muda mrefu na wameishawekwa...

View Article


Hili makossa unalionaje?

View Article

Wanakijiwe waukwaa uprofesa

BAADA ya udaktari na uprofesa kugawiwa kama njugu hasa kwa matepeli na wasaka sifa wanaotapeliana na kugeuzana mabunga, wana kijiwe kwa vile wana sifa kuliko wengi wa wanaopewa vitu hivi, nao wameamua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katiba mpya tusingoje wananchi wachome Bunge

  MWEZI Oktoba unaingia kwenye historia kama mwezi uliofufua matumaini ya kupata haki kwa nchi za kiafrika kusini mwa Jangwa Sahara. Mapinduzi ya umma yaliyomlazimisha imla wa zamani wa Burkina Faso,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is this true about Tanzania and China and presidential smuggling of ivory?

Kenyan Daily Nation has reported today that the plane carry China' s president was used to carry ivory smuggled out of Tanzania during his tour of Africa. If this is the case and it is true, how many...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uteuzi wa Kikwete ulioniacha hoi!

Halima Dendego ambaye elimu yake ni utata mtupu kiapishwa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa MtwaraMwantumu Mahiza mwalimu wa shule ya msingi kama Salma Kikwete aliyetueliwa muda mrefu kuwa mkuu wa mkoaMwanaidi...

View Article
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live