Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3175

Nimependa hii kitu

$
0
0

Hivi kweli huu ni urafiki wa kweli au gea ya kuutaka urahisi? Ama kweli wanasiasa ni viumbe wa ajabu sana. Nani alidhani mafisadi wangebebana kama msanii anavyowaona? Kwa vile wote ni wasaka tonge, wapo tayari kujiuza, kuwauza hata mama zao ilmradi wapate watakacho--- madaraka. Kweli ukishangaa ya Lowassa utaona ya Sitta!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3175