It is official now donor have suspended Tanzania aid
IPTL scandal has started to bite. It is official now. Donors have suspended Tanzania aid after the government has been dragging feet in dealing with the scam. History shows that IPTL was created by...
View Article15 years without Mwalimu Nyerere
This is how this blog commemorates the demise of Mwalimu Julius Nyerere.Mwalimu since you passed on things have changed. All rats are now operating freely after the rat left the scene. The narrative...
View ArticleKijiwe chawapongeza Mdee na Othman
Siku hizi hakiitwi kijiwe bali colloquium yaani mkutano wa wasomi wakitongoa na kujadili falsafa na madude mengine yaliyowashinda wahishiwaLeo Mpemba kajilawa kweli kweli. Ana jambo si dogo. Baada ya...
View ArticleHongera Othman kufichua janja ya Shein
Japo kukosea ni jambo la kawaida kwa binadamu, makosa mengine yanaweza kuwa na matokeo yenye madhara makubwa kwa mhusika au tuseme mwenye kufanya makosa. Hakuna kosa watakalojutia Chama Cha Mapinduzi...
View ArticleRais anapohongwa saa ya dola 5,000!
Kuna wakati ukisikia tuhuma zinazowakabili viongozi wa Kiswahili unatamani ulie au hata ujitoe roho. Miaka michache iliyopita zilizuka tuhuma ambazo kwa kiasi fulani zilionekana kuwa za kweli kuwa rais...
View ArticleKatiba-chakachuliwa ikipitishwa najinyonga
Uhuru wa kufanya unavyotaka ilmradi usivunje sheria ni haki kidemokrasia. Japo kujiua ni kosa la jinai, ni pekee kwa walio hai. Hivyo, kwa vile waliochakachua rasmu ya jaji Jose Warioba...
View ArticleMlevi afaidi filamu ya RugeSingasinga
Pamoja na kupiga bangi na kanywaji, wiki jana nilifaidi filamu iitwayo IpTL yaani Interdependent pilfers in Tanzia Limited (IpTL). Katika filamu hii yenye wahusika wengi japo wanaojulikana ni wawili,...
View ArticleDraft Constitution: Will CcM get away with murder?
Looking at the look of things, it is obvious. Chama cha Maulaji (CcM) is wantonly hell-bent to superimpose its will on Tanzanians. Refer to the recent sideshows whereby CcM was able to “pass”...
View ArticleIPTL, donors stick to your guns please
No joke. Independent Power Tanzia Limited is fleecing boozers. Since its inception under Ruksa regime, this thing has become an ogre to boozers. Since it came into being, instead of solving...
View ArticleKijiwe kutoshiriki kura feki
WIKI iliyopita Kijiwe kilimkumbuka nguli mwalimu Julius Mchonga. Japo wale waliowatengeneza, kuwatengenezea na kuwaachia ulaji walimtosa baada ya kuwa wakimsanifu kila mwaka, sisi tulimkumbuka kwa...
View ArticleMakamba anapomchimba Kikwete
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba aliyemtabiri angeteuliwa kuwa waziri, aliwaacha...
View ArticleKatiba feki imepita au imepitishwa?
Vyombo vya habari viliripoti tukio la kupitishwa rasimu iliyochakachuliwa ya katiba mpya. Vilionyesha Chama Cha Mapinduzi, na vyama nyemelezi washirika wakie wakishangilia kufanikiwa kupora...
View ArticleUprofesa wa Kikwete je ni aina mpya ya rushwa?
Rais Kikwete akipewa uprofesa wa heshimaUkiwa na kasoro wengi wanaitumia kukugeuza kinyago hata mwanasesere. Wanakuchezesha kama kile kinyago cha Joyce Wowowo. Hivi Kikwete na uprofesa tena wa kilimo...
View ArticleDICTATORSHIP? GO TELL THAT TO THE BIRDS, MISTER MAKAMBA!
THE Tanzania deputy minister for Science&Tech, January Makamba, left many in stitches. He's quoted as espousing dictatorship as the only means to eradicate endemic graft... That Tanzanians need a...
View Article