Look at how goons and betes noirs are eating Tanzania!
Tanzania :Power fraud unravelsHow the government handles the latest power sector scam could have a major impact on President Kikwete’s political legacyHeads may be about to roll after revelations about...
View ArticleTo be safe and curb aliens enact laws
Currently Tanzania is a focal point for aliens running away from various miseries many of which are economical. We’ve evidence the gangs of smugglers making a killing out of these desperate and poor...
View ArticleKijiwe kuchanachana Katiba ya Mr Sixx
Baada ya kugundua kuwa walazimishi fulani waliopora madaraka ya wachovu na kuamua kutenda jinai kwa kuwabambikizia mkataba mpya wa namna ya kutawaliwa, wana kijiwe wanaonekana kukomaa pamoja na...
View ArticleSitta, katiba ya matusi na meseji za matusi
Sikuwa nimepanga kuandika makala nyingine juu ya Samuel Sitta. Ila kwa vile ametokea kuwa msemaji wa Katiba Mpya kuliko hata rais Jakaya Kikwete aliyeunda tume ya kuhariri maoni, nimelazimika kurejea...
View ArticleIPTL: Kweli kuna urafiki wa paka na panya au ufisadi?
Jizi la IPTL Harbinder Singh Sethi akitoa mfano wa cheki ya shilingi 20 milioni kwa mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa habari za michezo (TASWA). Huyu jizi amekuwa bingwa wa kuhonga kuanzia...
View ArticleTB Joshua: Fake prophets and money making
When TB Joshua’s six-storey building in Lagos Nigeria collapsed and claimed the lives of over 100 people were killed of whom many were South Africans, Joshua called this carnage martyrdom. Again,...
View ArticleMlevi kuzuia uchafuzi wa maadili
Baada ya kugundua kuwa wakubwa wa dunia wamekusanyika New nyoko kuongea na kula kuku, mlevi kwa vile nami rais wa walevi sikujivunga japo sikupokelewa kama kiongozi wa kaya. Nilikwenda kama rais...
View ArticleSedition can only be committed by opponents in Bongo
When Captain Joni Kombha threatened to go to the bushes to topple the regime shall it allow Bunge Maalum la Kuula (BMK) to deliberate on three-tier system, many Chama Cha Maulaji (CcM) MPs and its...
View ArticleKijiwe chawapongeza walokataa utwahuti
Baada ya wahishimiwa wenye akili kuliko Abunwasi kuwaliza matwahuti wanaohangaika kuchakachua katiba yetu kwenye Bunge Maalum la Kuula kule Dom, kijiwe kimeamua kuwatumia salamu za pongezi kwa kitendo...
View ArticleTukatae katiba ya kifisadi
Hali ilivyo, na mambo yanavyokwenda, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama nyemelezi na washirika zake wamepania kutubambikia katiba. Hili halikubaliki na halipaswi kukubalika wala kuvumilika. Katiba ni...
View ArticleGood news from Da Philo Ikonya and her book the Nightbird
Philo Ikonya © 2014 Aidoo-Snyder Award for Still Sings the Nightbird"The prize committee felt that Ms. Ikonya's work is extremely innovative and transformative."http s://www.facebook.com...
View ArticleSitta: Mshika mbili
Kwa waliojua mchezo mzima walifahamu fika kuwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) Samuel Sitta alikuwa amepewa kitanzi ajimalize, rais Jakaya Kikwete na chama chake walitumia...
View ArticleNew Constipation: Hat off to Mdee Othman
Dear Halima Mdee (MP) CHADEMA and Othman Masoud Othmanformer Zenj’s Attorney General (AG),I'm writing this piece to wee bit celebrate your sacrifice and commitment. I do so with hope and...
View ArticleIPTL is the brainchild of CCM
Those looking for the link between Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Chama Cha Mapinduzi (CCM) should carefully read an excerpt from IPTL dossier I got from a friend.In a nutshell, IPTL is...
View Article