Picha ya wiki: Senior na Junior wanapofanya biashara
Hapa dala dala limepaki likingojea abiriaHapa bwana mkubwa kaamua kunipa ride baada ya kukosa abiria
View ArticleWho wants educated MPs at this very time?
Knowing how our hunk doesn't need sophisticated mortals --- it is hard to rule and bulldoze even dupe them--- Constitution Assembly (CA) otherwise known as Constipation Assembly came up with...
View ArticleCCM na makada wake wataangamiza taifa
Habari kuwa serikali imerejesha nyumba 12 mkoani Sumbawanga zilizokuwa zimetwaliwa na kada Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chisant Mzindaya Mbunge wa zamani wa Sumbawanga ni habari njema kwa watanzania...
View ArticleWanakijiwe wavaa magunia na kujipaka majivu
Baada ya wakubwa wenye ajenda zao za siri za kutajirishana na kutubambikizia katiba wakiitumia kama kisingizio cha kuiba njuluku zetu kuja na maigizo yao, kijiwe kimekaa kulaani na kuomboleza kwa msiba...
View ArticleSitta na UKAWA nani msanii tena anayetapatapa?
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba lililopoteza maana, Samuel Sitta anaonekana kuchanganyikiwa, kuguswa na kuweweseka. Pia ni mtu asiyeishiwa vituko ambavyo mara nyingi humuumbua na...
View ArticlePeace in South Sudan is Achievable and Desirable
Signing an agreement is one thing. Fulfilling its requirements is another. The signing of an agreement between two Nemeses in South Sudan recently is a breakthrough shall the duo abide by the...
View ArticleMlevi alipochonga na mzee Mchonga
Baada ya dunia kugeuka gunia nilijikuta nikifufua kipaji changu cha kuota na kuona maono huku nikitoa maonyo kwa umma ili usiangamie ima kwa kujua, kutaka, kulazimika au kutojua kabisa. Naona yule...
View ArticleHii ndiyo lulu ya amani
Hakika Jeshi la polisi limewapa taabu waandishi wa habari kwa kuwatesa, kuwadhalilisha na kuwaonea, Hapo ni waandishi wa kike kwenye sekeseke la kufunguliwa mbwa awatafune miguu.
View ArticleUDA: Serikali imebariki ufisadi?
Vyombo vya habari hivi karibuni vilimwonyesha waziri wa Serikali za Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Bi. Hawa Ghasia pamoja na na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Said Meck...
View ArticleWill Zitto Kabwe get away with murder?
The media recently reported what can be referred to as an admission from Kigoma North MP, Zitto Kabwe. By the look of things, Kabwe seems to have seen the light though a little bit late. He’s...
View ArticleI dare Sumaye to decouple CCM
In testing the waters, former PM Freddie Sumaye left many puzzled. He’s recently quoted as asserting that shall corruption exceeds in Chama Cha Mapinduzi (CCM), he’ll walk away from it. In...
View ArticleKijiwe kufanya matamasha ya akili
Baada ya wanakijiwe kupiga kele bila kueleweka wala kusikika, wamegundua kuwa kumbe tatizo pamoja na kuwa na utawala msonge na mchafu,ni wachovu wenyewe yaani wanakaya. Hivyo wamekuja na mbinu ya...
View ArticleNdoa ya Polisi na CCM mauti ya taifa
Ukitaka kuandamana kirahisi nchini lazima ufanye jambo moja hata kama hulitaki wala haliingii akilini. Panga maandamano ya kuunga mkono upuuzi wowote unaofanywa na wenye madaraka kama kupewa tuzo zenye...
View ArticleArticle 0
I must admit. I honestly adore those who have the courage of the mad. For, they think about unthinkable, aim at unattainable and intend to do impossible. After announcing what he called the “Journey of...
View ArticlePicha ya wiki
Huo ndiiyo ukoo wetu. Hiyo ndiyo timu yetu. Hilo ndilo taifa letu.Ni Nkwazi nation. Ni Nesaa empire
View ArticleMlevi kwenda The Hague kuwashitaki 'ndata'
Baada ya kugundua kuwa ndata wetu wamenogewa nauonevu kwa walevi, mlevi anawataka waache ka-unafiki ka kufanya undata na siasa kwa pamoja wakati katiba inakataza. Baada ya kuwanyotoa roho walevi wengi...
View ArticleUkishindwa kufanya kazi ardhini fanyia angani
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye ndege yake. Anaonekana anasaini nyaraka. Wapo wanaoona kama mkwara tu, anatanua kama kawaida yake. Kimsingi, kwa waswahili hakuna lisilo na jibu. Ukiuliza inakuwaje...
View Article