Kijiwe kwenda kufunga bunge la Katiba
Baaada ya wasaka tonge wakubwa na wadogo kujifanya kuwa hawana uwezo wa kusitisha Bunge Maalum la Katiba (BMK) lakini bado wakawa na mshipa wa kutuibia kwa kujilipa laki tatu kwa siku kwa kuharibu...
View ArticleNjama za kumuua Slaa: Ni zaidi ya Masele
Taarifa za kuchukiza na kutisha kuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbunge wa Shinyanga Mjini na Waziri mdogo (Nishati na Madini) Steven Masele pamoja na wenzake, walipanga na kuratibu...
View ArticleMALEMA: IS ZUMA REAPING WHAT HE SOWED?
What’s evidenced before South African Parliament speaks volume on how President Jacob Zuma’s past keeps on hauntingly following him. As he’s recently answering some questions during a special...
View ArticleMlevi aenda Bondeni kumpa tafu Maleema
Juzi mlevi alikuwa amealikwa na chata la Economic Freedom Fighters (EFF) la Julius Maleema aka Juju ili kushuhudia akimtia adabu mzee Jake Xuma, dingi wa Bondeni mbele ya umma wa wasauzi na dunia...
View ArticleDual citizenship: Fear nothing but fear
Since President Jakaya Kikwete conceived the idea of writing a new constitution, some issues have become. Whether Tanzania must have a three-tier system or two, has dominated the whole exercise whereby...
View ArticlePicha ya mwezi
Kuandamana na bi mkubwa kwenye utendaji muhimu. Au vipi? Tulipendeza eh! (Picha ilipigwa na binti yetu Ndiza)
View ArticleWhen great truants are needed in Bunge
It came to light recently that the Bonge Maalum la Kutibua (BMK) forced the powers that be to put a stop on mini-sitters’ truancy. Others call BMK Bonge la Mzengwe wa Katiba. Non-attendance made it...
View ArticleTubinafsishe Bonge la Mchongo wa Kukwapua
Baada ya kuchoshwa kuchefuliwa na kuchukizwa na wizi unaoendelea Mjengoni chini ya kinachoitwa Mjengo Maalum wa Katiba au Kuhomola (MMKK) akaBonge la Mzengwe wa Kukwapua (BMK), Kijiwe kimesukuti na...
View ArticleKatiba mpya: Sitta amepewa kitanzi ajimalize?
Alipoenguliwa kwenye kugombea tena nafasi ya spika wa Bunge, Spika wa zamani, Samuel Sitta, (Mkiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK), alitikisika sana. Wengi waliona kama alikuwa amekwisha hasa...
View ArticleUnafiki wa kukataa uraia pacha na ufisadi na rushwa
Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe ni kwamba kumbe wanaokatalia uraia pacha ni hao hao wanaotoa pasi za Tanzania kwa wahindi na wasomali huku wakiwa na pasi za zaidi ya nchi moja. Hata ukiangalia hoja...
View ArticleKutana na rais Jenerali
Tumefurahishwa na picha ya Jenerali Uhuru Muigai Kenyatta wa Ngengi
View ArticleMlevi kulishtaki BMK, ataka katiba mpya yenye mapya
Japo wanasheria wamesema hakuna jinsi ya kulishtaki au kulisitisha Bunge Maalum la Kitabu (BMK), wanaoliheshimu sana huliita Bonge la Mazingaombwe na Kuhomolea, mie nitalishtaki ili kuleta suluhu na...
View ArticleUKAWA: Why put a cart before the horse?
Naturally and scientifically, when one wants to move a cart, he puts it behind the cart. Again, what do you think when you find someone who does vice versa? If anything, by Umoja wa Katiba ya Walevi...
View ArticleBunge Maalum la katiba: Siri ya CCM kutosikia
Msomaji wangu mmoja aliwahi kunitumia ujumbe mfupi akiuliza ni kwani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kupuuzia sauti za umma unaotaka kusitishwa kwa bunge hil kutokana na kuendelea kinyume cha...
View ArticleBoozers love to hate Bunge la Mshiko la Kutibua
When the high and the mighty announced that they’re going to write a new constitution cheered. Had they known that the said thing would end up being constipation whereby Mshiko and goodies...
View ArticleKijiwe chataka wabunge wawe na PhD
Baaada ya Bonge la Mizengwe ya Kuchakachua Katiba (BMK) kuendelea na uovu wake, Kijiwe hakitaki kushiriki hii dhambi kwa kaya.Eti limependekeza waishiwa wajue kusoma na kuandika tu na hiyo iwe ndiyo...
View ArticleJe Zitto Kabwe amekumbuka blanketi asubuhi?
Hivi karibuni vyombo vya habari zilizomkariri Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwalaumu wapambe kwa kumchonganisha na mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
View ArticleMsikatae uraia pacha bali ufisadi pacha
Sikutaka kujiingiza kwenye mjadala ulioanza kugeuka dimbwi la topee baada ya vihiyo kila namna kujiingiza na kujifanya wataalamu wakati hamna kitu. Nimelazimika kuingia ili kuweka baadhi ya mambo...
View ArticleWhat a condemned nation that we’re!
We hear of failed nations such as Afghanistan, Iraq and Somalia but not condemned ones. By the look of things, I bet. Tanzania’s becoming a condemn nation just soon. Looking at ever-swelling...
View Article