Nani alaumiwe hapa
Hapa nani alaumiwe kati ya serikali zinazoruhusu jinai hii, wanaoendesha boda boda na abiria? Ama kweli usikia dunia gunia ndiyo huku. Jamani tumeshindwa hata ubunifu wa kwenda mbele badala yake...
View ArticleKuna uhusiano kati ya CCM na "wana Diaspora?"
Hivi karibuni kuliripotiwa kufanyika kongomano la Wana Diaspora la kwanza nchini Tanzania kwenye hoteli ya Serana jijini Dar. Ni jambo zuri kwa taifa kuanza kuona mchango wa wana Diaspora. Hata hivyo...
View ArticleHawa ni wabunge au wabuge?
Taarifa kuwa wabunge wamekuwa wakiombaomba fedha kwenye mashirika kukidhi shida mbali mbali binafsi na za kisiasa zinawafanya waonekane kama wabuge badala ya wabunge. Kwanini mbunge ategemee...
View ArticleAre you intending to butcher our people?
Reports that some dubious contractors charged with constructing our all-substandard roads have devised a new way of fleecing us by sabotaging our infrastructure can’t pass without comments. The news...
View ArticleMaisha bora kwa wote na hali hii hapa
Wanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Kiwalani wakifanya mtihani wao wa kumaliza darasa la saba picha kwa hisani ya IPP media.Kwa watu walioingizwa mkenge kwa kuahidiwa `Maisha Bora kwa Wote...
View ArticleKidato cha sita ni ushindi au ushinde?
Japo habari za watahiniwa wa kidato cha sita mwaka wa elimu 2013/14 kushinda kwa asilimia 95.98 zimefurahisha wengi, zinaacha maswali mengi kuliko majibu. Haijawahi kutokea nchini kiwango...
View ArticleWhen prince becomes plebeian-cum criminal
Boozers, recently, evidenced awkward turn of events when one time Prince in Zenj, Mansur Jose Hamidy’s apprehended in connection with illegal possession of firearms. This, if anything, used...
View ArticleMlevi atikisa kwa Obama
Baada ya mlevi kutoa tishio la kutaka kubomoa ghorofa uaji la uhindini si wahusika wameamka na kuogopa hadi wakapiga nyundo mahekalu ya mchunaji Rwakatarehe. Hayo tuyaache humu si mwake.Najua...
View ArticleStep aside mura Werema please
Novelist Henrik Ibsen said, “The strongest man in the world is he who stands most alone. This time around my brother and learned bro, Judge Freddie Werema won’t stand even alone. He’s always...
View ArticleMakinda anapodhihirisha ubovu wake
Japo Tanzania haina utamaduni wa kuwajibika, kuwajibishana, tokana na umma kuwafumbia macho wanaopaswa kufanya hivyo, kuna haja ya kubadilika. Ni wakati muafaka sasa kwa umma wa watanzania...
View ArticleKijiwe kulipiza kisasa kama Silaha atauawa
BAADA ya kunyaka nyuzi kuwa baadhi ya makada wa Chama cha Mauaji (CcM) kupanga kumnyotoa roho katibu mkuu wa Chakudema Dk. Willy Silaha, Kijiwe kimeamua kutoa msimamo wake kuhusiana na huu mfumo wa...
View ArticleHizi tuzo zingine kwa Rais Kikwete hapana
HABARI iliyosambazwa kwa vyombo vya habari ni kwamba Rais Jakaya Kikwete amepewa tuzo nyingine ya The Icon of Democracy. Ni icon au agony of democracy? Ajabu!Pamoja na wahusika kujisifu, ukichunguza...
View ArticleUS-Africa summit: Will Africa gain?
After African presidents met with president Barack Obama to discuss economic cooperation, what must Africans expect from this just concluded summit? Should they wait to hear a lot of...
View ArticleTunapofundishwa Kiswahili na wasiokijua
Hakuna ubishi. Kiswahili chimbuko lake ni Tanzania ingawa hali ilivyo, Tanzania itaanza kufundishiwa Kiswahili tena kibovu tokana na kuvuruga mfumo wake wa elimu. Tanzania, kama taifa,...
View ArticleWhy boozers hate red carpet?
Although many people, especially the high and mighty in the upper echelons of power love red carpet, I must admit. Boozers hate it due to the fact that its presence and the pride it emanates...
View Article"Natangaza nitakufa leo mchana", afanya kweli
Kikongwe mmoja nchini Kanada ameshangaza dunia kwa kutangaza kifo chake na kukitekeleza kama alivyoahidi. Gillian Bennett wa B.C aliamua kujiua baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu,...
View ArticleMlevi ahoji: Dini au duni ‘Askofu’Jambazi?
Mlevi huwa si mpenzi wa kushangaa. Ila hii ya hivi karibuni ya jambazi na kibaka aliyejipachika Uaskofu kufungwa miaka 32 imemuacha hoi. Je wako wangapi waliojificha nyuma na juu ya mimbari wakijivika...
View ArticleThe Day Nape took on Warioba to end up chastened
Looking at dog eat dog Chama cha Maulaji (CcM) is in regarding the Draft Constitution, top dogs are likely to use whatever means to get away with it especially undermining underdogs who of recently...
View ArticleThe day First ladies showed Africa's wealth
Chantal Biya Cameroon's fist lady who's known for her taste of extravagance Africa might be referred to as a poor continent. Again, this is not the whole story of Africa whose first ladies...
View ArticleHow many genius such as this are ignored in Africa
With awe and happiness I read the story of Ghanaian genius who has been ignored yet he still fights to survive Apostle Dr Kwadwo Safo. The man has really defied all odds as far as engineering and...
View Article