


Hapa nani alaumiwe kati ya serikali zinazoruhusu jinai hii, wanaoendesha boda boda na abiria? Ama kweli usikia dunia gunia ndiyo huku. Jamani tumeshindwa hata ubunifu wa kwenda mbele badala yake tunafanya ubunifu wa kwenda kuzimu? Je ni shida au ukosefu wa ubunifu wa maana? Ni maswali binafsi tu. Je wewe unaonaje hapa?