

Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe ni kwamba kumbe wanaokatalia uraia pacha ni hao hao wanaotoa pasi za Tanzania kwa wahindi na wasomali huku wakiwa na pasi za zaidi ya nchi moja. Hata ukiangalia hoja walizotoa kupinga ni upuuzi, ujinga na roho mbaya tupu. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.