
Kama wangetaka kututendea haki basi wangehukumu na wote waliowezesha dili hili kuanzia serikali iliyojifanya kutojua wakati wakubwa zake walishiriki kikamilifu.. Huu ni uchavda mwingine. Mnakumbuka skandali ya Chavda alipopewa mashamba akaishia kuyatumia kuchukua mamilioni toka Benki bila kuyaendeleza? Alipobainika wakubwa walifanya nini zaidi ya kumfukuza nchini ili asiwataje? Nalo hili mmelisahau?”