Mwl. Nyerere angewakemea Mgimwa, Kikwete
BAADA ya kuona matokeo ya kura za wagombea ubunge katika majimbo ya Chalinze na Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), nilijikuta nikimkumbuka hayati baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere....
View ArticleMabilioni ya Uswisi: Vigogo wazidi kupeta huku tukipigwa changa la macho
Angalia wezi wetu wanavyotanua huku tukiangamiaTaaarifa kuwa majambazi wa Kitanzania walioficha pesa nchini Uswizi wamefanikiwa kuanza kuhamisha chumo lao ni pigo kwa watanzania tena maskini. Vyanzo...
View ArticleMnamkumbua master Sergeant Samuel Kanyon Doe rais wa zamani wa Liberia?
Kwa wale ambao hawakubahatika kuona jinsi uovu usivyolipa, nawaletea video ya mateso ya Samuel Kanyon Doe aliyesifika kwa wendawazimu na tamaa ya madaraka asijue malipo ni hapa hapa duniani. Naomba...
View ArticleOn drugs, Kikwete, help me please
Much is said about President Jake Kikwete’s rule. Boozers aren't mincing words; are saying: The country’s rotten thanks to rampant corruption almost everywhere and in everything. They add. The sanctum...
View ArticleInakuwaje hadi Imamu anaiba Nguruwe?
Duniani kweli kuna mambo! Isitoshe, unafiki na ubabaishaji vimevamia mahekalu ya Bwana. Habari niliyoipata kuwa imamu mmoja wa msikiti wa Kisesa Magu, Salumu Yusuph amekamatwa makaburini akitaka...
View ArticleIwe Ruge eti bilioni 120 ni vijisenti vya ugoro?
Pamoja na kuupiga mma kiasi cha kujisahau, sijasahau kaya yangu. Nafahamu sana tu. Nakumbuka sana tena kwa moyo wote na akili zangu zote na kwa uwezo wangu wote. Kaya yangu ni maskini wa kutupwa ambapo...
View ArticleCongrats brother Ridhiwani!
The once untouchable son of president, Saadi Gaddafi being shaven after being extradited from Niger recently.When I got news that Chama Cha Mapinduzi (CCM) appointed the son of President Jake Kiquette,...
View ArticleKijiwe chapendekeza kaya iwe ya kifalme
BAADA ya kushuhudia wanene wakishindana kurithisha vitegemezi vyao maulaji, Kijiwe kimekuja na pendekezo moja la kuwasaidia wasionekane wanafiki na waongo. Kinapendekeza tubadili katiba na kutangaza...
View ArticleBarua ya wazi kwa Godfrey Mgimwa
BWANA mdogo Godfrey William Mgimwa, Kwanza nina kusalimu kwa kusema, habari za kampeni dogo? Baada ya kusoma mahali ambapo ulikaririwa ukisema kuwa unataka kuwaletea maendeleo watu wa Kalenga ambao...
View ArticleIs it time for al-Sisi to go or cling?
Field Marshal Abdul Fattah al SisiWhen he pulled former president Mohamed Morsi's government, some Egyptians especially anti-Morsi regarded Field marshal Abdul Fattah al Sisi as as a liberator little...
View ArticleZuma apatikana na hatia ya kutumia pesa ya umma kwa matumizi binafsi
Taarifa ya Mlinzi wa Umma (Public Protector) Thuli Madonsela imebainisha kuwa rais Jacob Zuma alitumia jumla dola 23,000,000 kwenye makazi yake binafsi huko kwao Nkandla. Wakati kashfa hii ikifumka,...
View ArticleMnyama anapotenda ubinadamu
Wakati wanadamu tunafanyiana unyama, wanyama wanaanza kutuzidi akili kwa kutendeana kibinadamu. Kiboko huyo hapo juu ameonyesha kutenda kitu ambacho kimetushinda binadamu kwa sasa. Kiboko hana...
View ArticleIdadi ya serikali haiamuriwi na Shein
Maneno makali ya hivi karibuni ya rais wa Baraza la Mapinduzi Zanziba (BMZ) Dk. Ali Mohamed Shein si ya kupuuziwa. Shein kwa makusudi mazima, anajua fika kuwa uamuzi wa Tanzania itakuwa na...
View ArticleMabilioni ya Uswizi: Mlevi achonga na Wereeema
Si kawaida ya mlevi kuandika barua hasa kwa watu wanaojiona au kuonekana mashuhuri. Leo huu mwiko nauvunja. Ni kutokana na uchugu wa kusoma habari ambazo zinakaribia kuninyotoa roho. Japo huwa...
View ArticleWimbo kwa wanaotegemea kuoa
It sometimes doesn't work the way you think. Important, take time to know the other half you want to make your part so that you can make one thing together.
View ArticleJe tumshukuru au kumuandama Kikwete kutupa Katiba mpya?
Kwa hali ilivyo ni kwamba CCM watatufanyia unyani na kutuletea "Katiba Mpya" kwa maana tofauti. Badala ya kutegemea Katiba Mpya nadhani tutegemee kitabu kipya chenye kubeba mambo yale yale ya zamani....
View ArticleIS IT EAST AFRICAN UNITY OR UPPITY?
When news reached me that some HIV- positive- Rwandan chicks were arrested in Dodoma two years ago as they’re vending their bodies illegally, I smelled a rat in our East African hurriedly cobbled...
View Article