Bravo Sitta, tell us more
How do you feel when you find that you've been ruled under the constitution that allows bigwigs to rob you? Hold your horses. I know. Shushus are now contemplating to sue me for blasphemy and...
View ArticleMgosi arudi na sera ya serikali 100
BAADA ya kuona watu wanataka kutoana roho kwa ajili ya vijiserikali vitatu mgosi Machungi amekuja na jibu. Pia ameona aje na muarobaini wa kuzuia kaya kuwa ya usultani au kifalme kama kijiwe...
View ArticleVunjeni Bunge la Katiba, okoeni fedha zetu
KWA waliofutatilia na kusikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ya zaidi ya saa mbili kwa Bunge la Katiba (CA) kule Dodoma watakubaliana nasi kuwa alikwenda...
View ArticleNapendekeza tuvunje muungano lau kwa mwaka mmoja
Napendekeza tuvunje muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutokana na sababu zifuatazo:Tukifanya hivyo tutatenda haki kwa CCM na wale wanaotaka serikali tatu.Tutatofa fursa kwa nchi mbili kutafakari...
View ArticleNKANDLA SCAM: IS IT TIME TO RECALL ZUMA?
South Africa’s Public Protector, Thuli Madonsela, made her verdict recently confirming the accusations that President Jacob Zuma’s posh Nkandla homestead upgrade involved public funds at the tune of...
View ArticleMlevi kutua Dodoma kutoa darasa la Katiba
Najua wengi, hasa wale wanaoshabikia mambo ya ajabu ajabu kayani, hawatapenda utume huu. Najua fika kuwa wengi wa wanaonicheka kwa ulevi na mibangi yangu wataona kama ninavuka mipaka kutaka kufanya...
View ArticleTungekuwa na wabunge 50 kama hapa nchi ingepaa
Kumbe wengi hatukumjua Peter Msigwa. Ni kifaa God knows. Kwa maneno yaliyomo kwenye uzi huu sina shaka kusema kuwa the guy is a thinker perse.
View ArticleWhen conversion becomes confession of a sort!
If anything, this is a practice in many African countries. Police get confession by any means whenever they need to. What them matters is the end not the means.
View ArticleWhose Constitution are we to have?
With unique swagger, President Jake Kiquette took Dom by storm with his big talk as he stormed at three-tier government. We now know what to expect vis a vis the New Constitution. For, he rendered...
View ArticleKijiwe chastukia usanii wa Nyaranduuu
MPEMBA anaingia na Newspaper ya Danganyika Always. Kama ada, anaamkua na kuagiza kahawa tayari kushiriki kikao. Anaonekana kuwa na jambo linalomkera. Anaanza, “Wallahi hii kaya mie yanshida....
View ArticleUkistaajabu ya Kikwete Utaona ya Sitta
BAADA ya kumdhalilisha, kumvizia na kumhujumu Jaji Joseph Warioba, na tume yake, wengi tulidhani Chama Cha Mapinduzi (CCM), lau, kingeona aibu na kuona inatosha. Lakini wapi! Wameonja asali sasa...
View ArticleIdodomya, Dom, doom, dosh and constipation
The season of minting and printing dosh is on.All roads are now leading to Dom. All eyes are on Dom where the hishimiwas are congregating to enact a new constipation, sorry, new constitution....
View ArticleHawa ni majaji au ma-junk?
Taarifa kuwa jaji Jon Utumwa (Si jina lake Halisi) kutoa huku mu usiku si za kusikitisha tu bali kustaaajabisha. Sikuweza kuamini kuwa jaji angetoa hukumu saa 2:30. Laiti kama habari hii ingetoka...
View ArticleMlevi apendekeza tuvunje muungano
Baada ya kutoa somo la Katiba Mpya kule Dodoma wiki jana na wahusika kujifanya hamnazo, leo nimekuja na wazo mujarabu la kuepusha kupoteza muda na njuluku za walevi....
View ArticleIn the defense of Mr. President
I've been forced to clarify as to why sometimes things can’t sound the way you like or expected them to. I’m making this clarification after one reader, sent me a provocative message that became a...
View ArticleUbishololo na ujinga na unywanywa mwingine bwana!
Hivi hapa alilyepiga kura kisheria ni nani? Kweli Bongo boondoggle kweli kweli!
View Article