
Duniani kweli kuna mambo! Isitoshe, unafiki na ubabaishaji vimevamia mahekalu ya Bwana. Habari niliyoipata kuwa imamu mmoja wa msikiti wa Kisesa Magu, Salumu Yusuph amekamatwa makaburini akitaka kumchinja nguruwe imenitisha. Je inakuwaje Imamu mzima akaiba kiti moto wakati ni kinyume cha imani anayodai kuiongoza? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.