Bob Mugabe@ 90 and Nyerere legacy
Zimbabwe’s long serving and first president Robert Mugabe aka Jongwe (cockerel) celebrated his 90th Birthday last week. For a country where life span is almost a half of Mugabe’s age, to...
View ArticleUkweli usiopingika
Je Katuni hii inaweza kuvumbua aina nyingine ya majangili ukiachia wale wa maofisini na maajenti wao mbugani? Je katika wale 40 anaowajua na kuwachunia rais Jakaya Kikwete na huyu yumo? Maswali ni...
View ArticleHii kali: Papa anapokutana na samaki!
Huyu mtemi wa Roma mkali kweli. Anajua kujichanganya hakuna mfano. Ametokea kuzoea ujiko ndani ya muda mfupi kiasi cha kuwapiku wengi waliomtangulia. Je huyu dogo naye akikua atakuwa mtemi wa Vaticana...
View ArticleKenyan'll always laugh at us with our Vasco da Gama Kikwete
Looking at president Uhuru Kenyatta's itinerary, for the first time, I wish he're the president of my country. I don't know if what he did not to globe-trot comes from personal conviction or systemic...
View ArticleIjue sare ya Jeshi la Mafisadi Tanzania(JMT)
BAADA ya tapeli a kisiasa Mwigulu Nchemba kufanikiwa kuwarubuni vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa ni mkereketwa wakati ni mganga njaa aliyeshindwa kitaaluma, ametengeneza utambuliko wake maalum...
View ArticleDeni la Sh. 900 lihapolipwa kwa kutoa mke
Patrick Andabwa 31, na Jones Kevogo 40 aliyepewa kama malipo ya deni lake la shs. 900 za Kenya.Kwa mujibu wa gazeti la kila siku la Kiingereza la Kenya la Daily Nation au Taifa la Machi 1, jamaa mmoja...
View ArticleHatimaye Zitto atoka kabatini kuonyesha ndoa yake na CCM
Hayawi hayawi huwa! Lisemwalo lipo kama halipo laja. Zitto Kabwe aliyekuwa Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA ameanza kuonyesha sura yake halisi akidhihirisha kile alichotuhumiwa kutaka kukifanya, kusaliti...
View ArticleMlevi azimia Kawa-dog’s Failure Formulae
Nivwa izwyi lako lino likunjitaKuti nkasambe mu umwanzi wakwe Mfumu Ndikwiza mpfumuNiza Nkwiza kwe weweNkwiza nswevya umwazi uno wanswizile x2Nasikia sauti yako ikiniita...
View ArticleHatimaye Ridhiwan aonyesha uchu wake na utawala wa kifalme
Taarifa tulizo nazo ni kwamba mwana wa mfalme wa Danganyika, Ridhiwan Kikwete "alishinda" kura za maoni katika chama cha baba yake Mfalme. Matokeo ya mnyukano wa kugombea nafasi ya atakayepeperusha...
View ArticleKijiwe chstukia EPA mpya
SIKU hizi kijiwe kimegeuka FBI ya kaya. Kila inapotokea skandali lazima mmoja wetu awepo. Leo ni zamu ya Mijjinga al maarufu Shed. Anaingia akiwa na makabrasha yake huku akiwa ameniga bonge la tai....
View ArticleMgimwa hauziki, Kalenga si wapumbavu
JAPO anafahamika kwa uhovyo wake, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mdogo wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ameonyesha ukweli wa uhovyo wake wakati akihutubia mkutano wa...
View ArticleSaadi Gaddafi arejeshwa Libya
Mtoto wa kiume wa imla wa zamani wa Libya, Saadi Gaddafi alirejeshwa juzi nchini kwao kupambana na mkondo wa sheria baada ya serikali ya kifamilia ya baba yake kuangushwa mwaka 2011. Gaddafi...
View ArticleMjue nshomile mwizi anayeita dola milioni 75 pesa ya ugoro.
Kwa wasiojua ujambazi wa wa IPTL ambao Tanzania imefanyiwa tangu mwaka 1995, nyuma yake kuna nshomile mmoja aitwaye James Rugemalira mmilki wa Mabibo Breweries. Mwizi huyu alitoa mpya juzi...
View ArticleBAN FIRST LADIES FROM STATE HOUSE TRADING
I recently heard Jukwaa la Katiba guys registering their discomfiture with regards the fashionable tendency by first ladies to form NGOs whenever their husbands become presidents.If anything, I have...
View ArticleMkipitisha mafisadi najinyonga
Niliposikia majina ya wanaotaka kugombea urahisi kupitia genge fulani nilishikwa na tumbo la kuendesha. Si kwa woga bali hasira. Hebu fikiria, mfano, unakurupuka usingizini na kuambiwa kuwa genge,...
View ArticleTutapata Katiba Mpya au Kanuni Mpya?
Kwa hali ilivyo ni kwamba wateule wetu waliko Dodoma wakigombea udohoudoho hawakutuangusha tu bali wametutia aibu. Kila siku wanazusha upuuzi huu na ule bila kujali maslahi ya mamilioni wanaowaangalia....
View ArticleIs it mortgage, mirage or mintage?
The other day I saw an advert on one of the so-called famous blog in the hunk. It was about affordable houses that turned out to be untouchable. I hurriedly called my memsahib to tell her that at...
View ArticleRidhiwani anataka kumdanganya nani?
Mwana wa rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani aliyepitishwa na chama cha baba yake kugombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze ametoa mpya kuwa akienda bungeni atawafundisha wabunge kuweka...
View ArticleKijiwe chapendekeza kaya iwe ya kifalme
BAADA ya kushuhudia wanene wakishindana kurithisha vitegemezi vyao maulaji, Kijiwe kimekuja na pendekezo moja la kuwasaidia wasionekane wanafiki na waongo. Kinapendekeza tubadili Katiba na kutangaza...
View Article