Nope: Bite but not bark or back off
Surprise, surprise, is at it again! Nope Ninaye Chama Cha Maulaji (CCM)’s chief spin doctor’s a top dog by all standards. However, boozers see him as lapdog that wants to act like a watchdog to no...
View ArticleAliymuandikia hotuba hii Kikwete amefanya homework vizuri
Hotuba nzuri ingawa sikubaliani na hitimisho lake la kusema kuwa tuishi legacy ya Mandela kuhakikisha nchi maskini zinajikomboa kiuchumi. Angesema mwingine ningeamini ila si Kikwete bingwa wa kuvuja...
View ArticleMlevi alivyohudhuria mazishi ya Madiba
Walevi wote nawasalimuni sana na leo nina habari njema sana ambayo ilikuwa siri. Na hii ni kweli. Si rongorong, kamba wala fix bali ukweli mtupu. Mna habari mimi na Mandela ni dugu moja? Babu wa bibi...
View ArticleGhasia,Mgimwa Mwanri, Majaliwa na wengine wawajibishwe
KWA mara ya pili, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekunjua makucha yake. Hii ni baada ya kuwataka mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Hawa...
View ArticleMauaji ya Mabina yawazindue watawala wasiotaka kujifunza
Kuuawa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa Mwanza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) si kitendo kizuri kwa taifa ingawa kina somo. Je kama jamii iliyozoea kukandamiza wanyonge walio wengi tunajifunza nini?...
View ArticleSudan Kusini yazima jaribio la mapinduzi
Usiku wa kuamkia tarehe 16 Desemba hii ulishuhudia mapigano makali baina ya vikosi vya jeshi la serikali ya Sudan Kusini na vile vinavyoaminika kumtii makamu wa rais wa zamani Dk Riek Machar...
View ArticleUnaweza kugawa dola 40,000,000?
Jamaa mmoja wa Calgary hapa Kanada, Tom Crist (pichani) amefanya kilichowastua wengi hata mabilionea. Ameshinda kamari ya dola milioni arobaini na kuamua kuitoa kama mchango kwa mashirika ya...
View ArticleMiaka zaidi ya 50 ya uhuru bado watawala bado wanatibiwa nje!
Ni hivi majuzi Tanzania na Kenya zimesherehekea zaidi ya miaka 50 ya uhuru wake. Siku chache baadaye taarifa zinakuja kuwa rais Jakaya Kikwete anakwenda Marekani "kuchekiwa" afya yake. Hii maana yake...
View ArticleWhen dudes mourned Diba
Looking at how former South African President Nelson Mandela’s eulogized, glorified, epitomized, praised and you name it, one'd love to die and hate to love to live. Hearing such tonnes of praises,...
View ArticleMlevi alaani walevi kujichukulia sheria mikononi
Kwanza nawasalimu na ‘kuwakaripia’ walevi wa kule Ng’wanza kwa kuchukua sheria mkononi japo ni haki yao kutoa onyo kuwa mafisi, mafisadi na kila vinyama vya mwitu kuwa wajiandae kupata saizi na stahiki...
View ArticleKikwete na Pinda wafuatie wawajibike
Baada ya rais Jakaya Kikwete kuwafuta kazi mawaziri wanne kwa kosa la kutowajibika kwenye wizara zao, umefika wakati wa kumwambia naye awajibike. Sababu za kufanya hivyo ziko wazi. Kama mawaziri...
View ArticleMob justice : When sheep take on jackals
When one Chama Cha Maulaji (CCM)’s stalwart’s felled by an angry mob in MZA after being caught cold, boozers congregated in our swallowing joint to discuss this eventuality. Everybody’d his...
View ArticleMerry Xmas and Happy New Year 2014
This blog, in a very special way, does wish you Merry Xmas and Happy New Year to all readers, visitors, fans and everybody who has interest in it. We thank you for your noble company throughout the...
View ArticleOther African countries learn from Zimbabwe
News that Zimbabwean ruling party Zanu PF tabled a bill asking for renaming Victoria Falls is good news. Local Government minister Ignatious Chombo was recently quoted as saying, “Institutions...
View ArticleMlevi ataja umaskini wake
Nitafunga mwaka huu wa ufisadi kwa staili ya namna yake. Wakati wengi wakijiandaa kuwaibia walevi, mie naonyesha njia ya uadilifu na uwajibikaji.Baada ya wenye mali na mamlaka wanaopaswa kutangaza...
View ArticleMkwe wa Museveni na Mugabe wakumbwa na kashfa.
Tunafunga mwaka kwa kuzidi kuibuka kwa madudu ya watawala wetu. Nchini zimbabwe, mkwe wa rais Robert Mugabe, Adam Molai (Pichani juu) akikumbwa na kashfa ya kuingiza sigara nchini Afrika Kusini...
View ArticleWell done MPs though you too have to go
Ripples and tremors of the sacking of some ministers can be felt all over the hunk. Boozers, just like other citizens and villagezens, weren't left out in discussing the sacking. Though the...
View Article