Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173

Unaweza kugawa dola 40,000,000?

$
0
0

Jamaa mmoja wa Calgary hapa Kanada, Tom Crist (pichani) amefanya kilichowastua wengi hata mabilionea. Ameshinda kamari ya dola milioni arobaini na kuamua kuitoa kama mchango kwa mashirika ya kibinadamu. Alisema wazi kuwa hahitaji hiyo pesa zaidi ya wale wanaoihitaji. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173