Keinerugaba usisamehe fisadi wa elimu
Hivi karibuni, sakata la kughushi limetawala kwenye vyombo vya habari nchini hasa baada ya kuibuka madai kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda, alitumia vyeti visivyo vyake...
View ArticleKijiwe champongeza Keinerugaba
Leo Msomi Mkatatamaa ameingia kijiweni akiwa mwenye furaha japo si kawaida yake kuonyesha hisia zake. Anaamkua na kumpa gazeti Mchunguliaji na kusema “mmesikia yaliyomkuta daktari feki...
View ArticleKwanini Magufuli anawadhalilisha mawaziri wake
Hakuna ubishi. Rais John Magufuli ana sifa nyingi za uchapakazi japo ameanza kuonyesha sifa nyingine zinazokinzana na uongozi bora. Hivi karibuni alijiongezea sifa ya kutaka kujua na...
View ArticleBashite Kachape Kazi
Mwanangu Poo Makonda, nakuita usikieJinsi ninavyokupenda, ya watu usisikieNajua wanakuponda, mwanangu usijutieWewe mwanangu mpenzi, niliyependezwa nayeJinsi ninavyokupenda, wewe nenda utulie,Najua...
View ArticleMlevi kuliambia na kulikolomije taifa
Baada ya kushuhudia namna taifa letu linavyogeuzwa shamba la bibi na matapeli kila aina, nimeamua kuja na kuwapa vipande vyao bila kujali kama watachukia, kukoma au komaa. Acha niwakolomee kana kwamba...
View ArticleKashfa ya Makonda: Inatakiwa busara si ubabe
Kauli ya rais John Magufuli kuhusiana na sakata la mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda kughushi vyeti vya kitaaluma imestukua, kusikitisha, kukwaza na kushangaza wengi ukiachia mbli kumtia aibu...
View ArticleKwa Sasa Rais wa Tanzania ni Nani?
Tokana na mkanganyiko utokanao na upendeleo wa wazi tena wa kuvunja sheria na kulealea jinai baina ya rais John Pombe Magufuli na mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda aka Daudi Albert Bashite...
View ArticleMgoshi Apendekeza Kijiwe Kihamie Koromije
Baada ya kushuhudia vimbwanga na vibwengo, visa, visasi, mikasa na makosa, kijiwe kimeamua kutia timu kwenye jiji la Koromije kule kwenye nchi ya Kusadika na Kuburuzika. Kinakwenda kule kumsaka mbaya...
View ArticleKumbe Tanzania imefika hapa!
Wengi wa wapenda demokrasia, haki na usawa nchini watakuwa wameshangazwa na hata kuchukizwa na yaliyojiri hivi karibuni. Ni kuhusiana na sakata la kughushi; mbali na la uvamizi wa vituo ya...
View ArticleDingi anapowachanganya walevi na kuchanganyikiwa
Juzi nikiwa zangu kwenye misele si nikajikuta kwenye ufunguzi wa barabara za ghorafa kwenye kaya ambayo si baraba kiuongozi ukiachia mbali kuwa fiti kiuongo. Tokana na kutaka kujua nini majaliwa...
View ArticleBASATA na Polisi acheni kujikomba
Baada ya rais John Pombe Magufuli kutengua marufuku ya wimbo wa Wapo waEmanuel Elibariki aka Ney wa Mitego na kukamatwa kwake, tokana na katazo la Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na...
View ArticleKijiwe chanasa kwenye mitego ya Nay wa Kutega
Huwa wanakijiwe hawapendi mipasho wala muziki wa rapurapu uliojaa marapurapu kimawazo na kifalsafa. Mara hii, Nay wa Kutega katutega hadi tunajikuta tukiizunguka radio tukirudi ngoma ya Wapo akina...
View ArticleLaiti wakuu wa mikoa na wilaya wangeiga mfano wa Mjema
Hatua ya mkuu wa wilaya Ilala, mheshimiwa Sophia Mjema, ya kuuzindua umma kwa kuukataa mwiko wa kuwa shuhuda wa uhujumu wa taifa letu ni ya kupigiwa mfano. Tokana na ushupavu wake,...
View ArticleSouth Africans’ short memories sad
Thousands march against the recent wave of xenophobic attacks in South Africa through the streets of Johannesburg on April 23, 2015. Unemployment it is certainly not caused by foreigners. PHOTO |...
View ArticleIn the Memory of Nomthandazo''THANDI" Mnyiphika
Although Thandi is long gone, her memory and celebrated works are still in our memories and prayers. She entertained the world. I still listen to her tunes not to mention always supporting her group...
View ArticleKikwete anapogeuka mali adimu!
Hivi karibuni jambo moja lenye kuzua utata lilitokea bungeni ambapo rais Mstaafu Kanali mstaafu Jakaya Kikwete alishangiliwa na wabunge kuliko ilivyowahi kutokea bungeni. Wapo wabunge...
View ArticleMpayukaji anapogeuka mwimbaji rap
I vividly see it comingYes, it is truly comingI can hear people fervidly yellingYes, I see them surreptitiously infuriatedThe time is comingWhen everything Is going to be alarmingI see it comingYes, it...
View ArticleKashfa za Makonda zitalifikisha wapi taifa?
Japo mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda anaweza kujiridhisha kuwa ndiye alianzisha vita dhidi ya biashara na utumiaji wa mihadarati, ukweli unabaki pale pale kuwa vita hii ilianza...
View Article