Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe toka Gambia kwenye sherehe ya mweleka wa Jammeh

             Baada ya kuweka vitu vyangu kumsaidia sister Hill Clint na kupigwa na Don Drumpfy yule mfanyabiashara wa kutia shaka na mbaguzi wa kunuka, niliamua kula kuku kidogo kule wachovu hupenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Futeni na kupiga marufuku NGO za wake wa wakubwa

             Hivi karibuni vyombo vya habari viliripoti kuzuiliwa kwa mzigo wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya mke wa rais mstaafu Jakaya Kikwete, Salma baada ya kile kinachosemekana kutaka kupitisha...

View Article


This is what will kill the East African Community

What a well-said piece of mind! I wish all despots in the are would comprehend what this gentleman wants to put across. There cannot be a truly EAC integration without democracy and justice. We need to...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Heri ulevi wa kanywaji kuliko madaraka

             Wiki iliyopita ilitoa somo moja kubwa dunia kuwa kweli cheo ni dhamana. Nikiwa natoka kupiga kanywaji si nikamkuta bi nkubwa ameganda kwenye runinga yetu ya inchi 60! Naona yule anatikisa...

View Article

Hear Jammeh staging a second coup

Those of us who know the megalomaniac Gambia strongman, did not buy into what was seen as an exemplary move of conceding defeat in the just ended general elections. Now, it is obvious that this lunatic...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete na Magufuli watachonganishwa na maadili

Wiki iliyopita vyombo vya habari viliripoti habari ya kuzuiliwa kwa mzigo bandari wa shirika lisilo la kiserikali la Wanawake na Maendeleo (WAMA) linalomilkiwa na mke wa rais mstaafu.  Habari hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chasheherekea na kutathmini uhuru

            Wakati wapo waliosherehekea kumbukumbu za miaka 55 za uhuru kwa kununa tokana na kutokuwapo makulaji na posho, kijiwe kilisherehekea kwa tafakuri na tathmini nzito.  Wakati wengi walikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kugomea uraia pacha ni kujikwamisha

           Hivi karibuni, baada ya kubainika kuwa watanzania wanaochukua uraia wa kigeni hupotgeza haki muhimu ya kumilki ardhi, kumekuwapo mjadala kwenye mitandao ya kijamii. Tokana na unyeti wa suala...

View Article


Akina baba tusiwe kama baba Kamakl

Huu muziki ni wa kikuyu. Umetungwa na John Njagi na kuimbwa na binti ambaye jina lake halikutajwa. Muziki huu una somo kubwa kwa wanaume -tena watu wazima -wanaopenda kuharibu watoto wa wenzao.Binti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hakikini mali za walevi wote na si wanene tu

            Hivi karibuni, vyombo vya habari viliripoti kuwa sirikali ina mpango wa kuhakiki mali za wanene na wazito ili kubaini wangapi walipiga wakaficha kwa majina bandia au ambao ni wa kweli kama...

View Article

Mgoshi kukomba appointment na rahis

           Leo Mgoshi Machungi ana hasira ya kufa na mtu. Si juzi dada yake Zuhura alikwenda ku-renew hati yake ya kusafiria akaambiwa alete cheti cha kuzaliwa chake na mama yake wakati wote walizaliwa...

View Article

Makonda aeleze anavyopata pesa anayotoa

Hivi karibuni vyombo vya habari vilipoti kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda alitimiza ahadi yake ya kutoa fedha taslimu za mitaji na vifaa vyenye thamani ya shilingi 164 272, 000 kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yaani hata machangu mnaimpoti toka Ugabacholini!

             Niliposoma kuwa ndata walidaka vyangudoa toka Nepali na India nilicheka sana. Kwanza nilijiuliza; Hawa jamaa walivyo wabaguzi, vyangu wa kibongo wakienda kule watapata soko kweli? Je...

View Article


Kijiwe chashanga kaya kubinafsishwa kwa magabacholi

Mpemba anaonakena ana ishu inayomkera. Ameingia akiwa na gazetimkononi huku akisonya nakutikisa kichwa. Kwa waliomzoea, wanajua kuna jambo linamkera.Mbwamwitu anamuuliza “Mgoshi mbona unaonekana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kakoko wataje wanasiasa wanaotaka kukukwamisha bandarini

            Hivi karibuni, vyombo vya habari vilipoti kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) Deusdedit Kakoko akisema “wapo wanasiasa wakubwa wakiwamo wabunge wananiambia kwamba vita ya flow mita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Akina Lusekelo wachunguzwe na “zawadi” zao

         Baada ya kukumbwa na kashfa ya kile kilichoripotiwa na vyombo vya habari kama ulevi na kuonyesha tabia mbaya, mchungaji Anthony Lusekelo ametoa mpya mbili za kufungia mwaka. Moja ni kuwaombea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlevi kuanzisha kanisa la Upasho na Vitisho na Mipayuko

            Baada ya kuona walevi wenzangu tena vihiyo na wasio na ujanja hata nusu yangu wakianzisha madhehebu yao na kuukata, nami nimeamua nianzishe kitu hii lau niweze kuendesha michuma ya “zawadi’...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

We Wish You a Very Spiffy New Year 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hivi ndivyo wengine tulivyoukaribisha mwaka mpya 2017

Huku kwetu uswazi tulipigwa na bonge la theluji. Kwa wiki ya kwanza kabla ya mwaka mpya na  siku moja kabla ya mwaka mpya tulipigwa theluji yapata sentimita kama 30. Hivyo, wakati wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli alicherewa kutumbua

Mkurugenzi wa Tanesco naye aachie ngazi             Vyombo ya habari hivi karibuni vilimkariri Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umeme la Taifa (TANESCO), Felchesmi Mramba akijisifu kuwa wamewawajibisha...

View Article
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live