Kijiwe chashangaa utendaji wa kizimamoto
Mgoshi Machungi anaonyesha kuuanza mwaka kwa hasira. Anaingia akiwa anasonya na kuzungusha kichwa kana kwamba ataua mtu leo. Anaamkua na kusema “wagoshi, mmesikia hiki kizungumkuti cha...
View ArticleMwaka huu tufukue kaburi lau moja
Katika mojawapo ya matamko yake, rais John Pombe Magufuli mnamo mwezi Novemba mwaka jana, alisema kuwa hana mpango wa kufukua makaburi. Kwani, yanaweza kumshinda kuyafukia. Kiakili,...
View ArticleMagufuli nawe timua wamachinga wa kisiasa
Hivi karibuni kulitokea malalamiko kuwa baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wasiojua mipaka ya madaraka yao wamekuwa wakiwanyanyasa wananchi tena kwenye mikoa na wilaya zao. Hili si jambo...
View ArticleBarua ya Faru Toto kwa faru John (Baba)
Baba Faru John, Naandika waraka huu ili ukufikie huko kuzimu japo ambao bado wanaamini kuwa uko hai. Wanasema eti ulibadilishwa jina na kuitwa Ole Sokoine. Vyovyote iwavyo,...
View ArticleWhat a shame from Ghanaian new President!
What sort of academic incidence and laziness for the head of state and his government to blindly and shamelessly plagiarise somebody's speech! I didn't know that we still have leaders who are such...
View ArticleKikwete hakustahili kuwa Mkuu wa UDSM
Baada ya rais John Magufuli kumteua rais mstaafu Luteni Kanali mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) wanaojua namna Kikwete alivyokacha nafasi hiyo...
View ArticleKijiwe na Mikakati ya Mwaka Mpya
Baaada ya kufanikiwa kumaliza mwaka 2016, Kijiwe kimejiandaa kuleta mapinduzi kwa kupambana na changamoto mbali mbali kama vile kupambana na ufisadi na ufisi; kuhimiza matumizi bora ya mali...
View ArticleNchemba, wako wapi wauza unga!
Kuna mambo rais John Magufuli amefanikiwa kwa asilimia kubwa tangu aingie madarakani tena kwa muda mfupi na kasi ya ajabu. Magufuli anasifika kwa kutofumbia macho uzembe, matumizi mabaya na...
View ArticleBarua kwa mpendwa na munusurika Escrow
Mpendwa Escrow, Baada ya kukosa ofa na kanywaji na njuluku za kununulia bangi ka muda mrefu, nimekumbuka mpendwa wangu marehemu Escrow aliyetujaza minjuluku hadi tukasahau kuwa...
View ArticleMagufuli ataweza kutumikia mabwana wawili?
Hakuna ubishi. Rais John Magufuli ana kibarua kigumu. Hii ni kutokana na mfumo mbovu aliorithi bila kuwa tayari kuufumua na kuufuma upya kisheria zaidi ya kufanya hivyo kisiasa....
View ArticleKijiwe chalaani bakora Rorya
Baada ya kurushwa picha za akina Mura Msama, Magesa, Nyambora, Wambura na Kitamara wakimsulubu mama mmoja kwa utovu wa nidhamu, kujiwe kimeamua kuongeza shinikizo dhidi ya udhalilishaji huu...
View ArticleMagufuli hana haja ya kutishia vyombo vya habari
Taarifa za vyombo vya habari zilizomnukuu rais John Pombe Magufuli akiyaonya magazeti mawili kutokana na kile anachosema ni kuandika habari za uchochezi si njema kwa taifa tena la...
View ArticleHuyu bwana kubwa anakimbizwa na woga au busara?
Picha hii imnechukuliwa toka kwenye blog ya maisha na mafanikio
View ArticleGo Jammeh go!
Go Yahya Jammeh goGo Jammeh go ye YahyaGo without turning thy head back everThe game is up and over sirGo son of hell, a coward in your own rightGo Jammeh go down cowing like a doltIn flames go down...
View ArticleUtabiri wa mwaka huu wa mlevi
Baada ya matapeli wengi kurithi na kuibuka na utapeli uitwao utabiri, nami kwa nguvu ya kanywaji naamua kutabiri hasa ikizingatiwa kuwa hakuna chuo hata kimoja kinachofundisha kitu hii....
View ArticleBarua ya wazi kwa mheshimiwa Godbless Lema
Mpendwa Godbless, Naamini hujambo huko uliko kwenye mazonge ya kufungwa bila kuhukumiwa. Najua ni machungu kiasi gani unapitia wewe, familia, marafiki na chama chako bila kusahau wapiga kura...
View ArticleMpayukaji arejea toka Gambia kumtimua Jammeh
Baada ya kuupa tafu upingaji nchini Gambia na kumtupa nje imla wa huko wa siku nyingi Yaya Jammeh akagoma kukitoa, ilibidi nirejee tena kumtimua tena kwa aibu. Hii ni baada ya jamaa kujifanya...
View ArticleWizi ndani ya wizi AUWSA wahusika wawajibike
Hivi karibuni, vyombo vya habari vilifichua wizi wa kutisha kwenye Mamlaka ya Maji kule Arusha (AUWSA) ambapo zilitumika jumla ya shilingi 198 milioni kuchunguza ufisadi wa shilingi...
View ArticleKikwete hakustahili kuwa Mkuu wa UDSM
Baada ya rais John Magufuli kumteua rais mstaafu Luteni Kanali mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) wanaojua namna Kikwete alivyokacha nafasi hiyo...
View Article