Bongo kuna jaa si njaa
Kuna mjadala ulioniacha hoi hivi majuzi. Mjadala wenyewe ni juu ya kuwa kama kuna baa la njaa Kayani au la? Upande wa utawala unasema hakuna kitu kama hii wakati upande wa upingaji ukizidi...
View ArticleMpayukaji Ahudhuria Kikao cha Wanene Addis Ababa
Baada ya wanga na woga wengi kudai kuwa nina woga wa kusafiri ughaibuni, nimeamua kuwatoa nishai ili waaibike na kushushuka. Si wapo waliosema kuwa sitakwenda kwenye kuhudhuria genge la...
View ArticleSerikali inaposhindwa kujua faida ya mradi wa DRT
Hivi karibuni, rais John Pombe Magufuli akiwa ameandamana na makamu wa rais wa Benki ya Dunia (WB) kwa Afrika, Makhtar Diop alizindua awamu ya kwanza ya magari yaendayo kwa kasi jijini Dar...
View ArticleWhy AU needs to be decolonised
The just-ended conference of the African Union (AU) in Addis Ababa, once again exhumed Africa’s endemic glitches revolving around the colonial dregs. This was displayed during...
View ArticleUDARt na mwendo kasi wa kupunyua mali za walevi
Alipozindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi jijini Bongo hivi karibuni, rahis alionyesha shaka ya kutojua faida ambayo kaya itapata au imeishapata tokana na mradi wenyewe ambao ni mazonge na...
View ArticleHotuba ya Magufuli suto kwa Afrika
Hivi karibuni rais John Pombe Magufuli alionyesha upekee kama kiongozi wa nchi kwa kuwa kiongozi wa kwanza wa Tanzania kuhutubia mkutano wa wakuu wa Nchi Huru za Kiafrika kwa Lugha ya...
View ArticleAkina Mgoshi Machungu kujidai Hollyweed
Baada ya rahis mpenda sifa na vimwana, Don Trumpet, kuipiga tafu Bongolalaland kwa kuruhusu wabongo kuingia kayani kwake bila visa, kijiwe kinapanga kwenda kule hasa Holyweed kujinoma kama...
View ArticleMihadarati: Barua ya wazi wa Makonda
Kibonzo kwa hisani ya gazeti la Daily Nation, Feb., 8, 2017. Huwa nina mazoea ya kukosoa au kupongeza viongozi wa umma pale wanapokosea au kufanya yale yenye kuwaridhisha wananchi. Niseme...
View ArticleMlevi kuleta FBi kupambana na bwimbwi Bongo
Baada ya Mkoa wa Dar-Si-Salama chini ya munene wake Po Makondakonda kujitutumua kupambana na biashara ya bwimbwi, mlevi niemeamua kuwaunga mkono. Nitatumia umaarufu wangu na elimu yangu ya...
View ArticleMihadarati: Barua ya wazi kwa Kikwete
Mheshimiwa Luteni Kanali na rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, naomba nisikuite dokta kwa vile sikumbuki wewe kusomea shahada ya juu ya PhD. Najua unazo PhD za heshima ambazo kisomi, huwa...
View ArticleKijiwe Chajadili Bwimbwi
Mpemba anaingia akiwa na bashasha. Lazima ana jambo la kutujuza lau tulidurusu na kutongoa huku tukitoa mapendekezo ya nini kifanyike kama suluhu ya tatizo liwe la kibinafsi au kitaifa.Baada ya...
View ArticleMakonda akae kando kupisha uchunguzi
Waswahili wana msemo kuwa muosha naye huosha. Pia husema kuwa ukijua huu wenzio wanajua ule. Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda kuwatuhumu wenzake kuwa walikuwa wakipokea...
View ArticleSiuzi bwimbwi nimeokoka
Baada ya dogo Po kuwatibuliwa wanene, wasanii na ndata kwa kuwatuhumu baadhi yao kuwa wanasepa na mibwimbwi nimesikia walevi wengine wakilalamika kuwa walishukiwa kuuza bwimbwi; na hivyo kuchafuliwa...
View ArticleHabari njema
JANA rafiki yetu na kijana wetu Sirili Akko Mionntini alliuacha ukapela. Tunafurahi kuwatangazia marafiki na wasomaji wetu kuwa tumepata mwanachama mpya.Japo hatukuweza kufika Hanang kuhudhuria mnuso,...
View ArticleSerikali izuie bendera madhabahuni na vyeo bandia
Kwa walioangalia mahubiri ya Josephat Gwajima baada ya kuachiwa toka Central police station, watakubaliana nami kuwa ana bendera ya taifa na ya Israel kwenye jukwaa lake. Siku zote...
View ArticleWhen Azerbaijan goes Obiang and Museveni
Azerbaijan dictator Ilham Aliyev has appointed his wife his vice president. This was only heard of in Africa whereby Equatorial despot and Ugandan one, Theodoro Obiang and Yoweri Museveni respectively...
View ArticleKijiwe chataka wasiojua lugha ya taifa wasipewe uongozi
Baada ya Kijiwe kujikita kwenye kadhia ya biashara hatari na haramu ya bwimbwi, leo kinakuja na inshu moja kali na nyeti kwa kaya. Msomi ambaye hana kawaida ya kuanzisha mada, leo anavunja...
View Article