Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3178 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

If Clinton trumps Trump Tomorrow

         Arguably, when the superpower of the world does anything, it automatically becomes an international subject. This is why the coming elections in the United States (US) always hit headlines all...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

If Clinton loses it Michelle Obama Should Warm up to Run for President

What a tight race! Shall Clinton lose it Michelle Obama should prepare herself to become the first US;s female president. Again, it is still too early to call.Nkwazi

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chashangaa Makufuli kuogopa ‘makaburi’

        Baada ya Dokta Joni Kanywaji Makufuli kutoa mpya akisema kuwa anaogopa kufukua makaburi kwa vile hawezi kuyafukia, Kijiwe kimeamua kumpa ushauri tena wa bure. Kijiwe hakikuamini kuwa mtu jasiri...

View Article

Bila kufukua ‘makaburi’ tutakufa kwa uoza

             Kwanza, nichukue fursa hii kumpongeza dokta Joni Kanywaji wa Makomeo kwa kutumiza mwaka mmoja kwenye ulaji. Pili nimpe salamu za walevi kuwa tumekubali baadhi ya vitu vyake hasa kuwapiga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe champongeza Dk Kanywaji na mkewe

         Taarifa zilizozagaa kama moto wa nyika za kuugua na kulazwa kwa mke wa rahis Joni Kanywaji Makufuli kwenye Hospitali chakavu ya Muhimbii, kama apendavyo kuiita Mgoshi Machungi, zilimekikuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Magufuli hataki kuchimbua makaburi anyamaze

           Hivi karibuni, rais John Pombe Magufuli alikutana na waandishi wa habari katika siku ya kuadhimisha mwaka mmoja wa kuwepo kwake madarakani. Baada ya kuongea na waandishi wa habari, rais...

View Article

How the West Depends on Africa but not vice versa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exiting the ICC: This is Lovely

source: Daily Nation (17 November 2016).

View Article


Mlevi afuta safari kwenda kutibiwa Ughaibuni

             Baada ya rais Joni Kanywaji Makufuli kuonekana kwenye hospitali ya kaya ya Muhimbiza akimjulia hali mshirika wake wa bedroom, Bi mkubwa Jane, mlevi ambaye bi mkubwa wangu alikuwa...

View Article


Je Tanzania inao wageni wanaohodhi ardhi wangapi?

             Hakuna ubishi. Chini ya utawala rais mstaafu Benjamin Mkapa, Tanzania ilipwakia uwekezaji bila maandalizi wala ujuzi wa kile ulichokuwa ukiingia. Mkapa atabaki kwenye vitabu vya historia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli unangoja nini kumtumbua Makonda?

         Mheshimiwa rais John Pombe Magufuli,                 Najua unajua kuwa hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makond alitoa mpya ya kufungia mwaka.Makonda alikaririwa na vyombo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chashangaa wanaoshupalia njuluku ya tetemeko

                     Wiki jana baada ya vyombo vya umbea kusheheni malalamiko ya wahanga wa tetemeko kule kwa akina Nshomile, Kijiwe kimeamua kuingilia kati lau kutoa elimu na ushauri vya bure....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miaka mitatu bila Dk Sengondo Mvungi

            Leo ni miaka mitatu na siku chache tangu Dk Sengodo Mvungi afariki dunia.  Kwanza, niwatahadharishe wasomaji wa safu hii. Makala hii nimeiandika nikiwa soba kabisa bila kupata kitu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nchi ya viwanda Escrow, UDA, NSSF nk wapi na wapi?

         Baada ya rais John Pombe Magufuli kuingia madarakani na kukuta madudu na mdororor wa uchumi, alikuja na mipango ya kuifanya Tanzania nchi ya viwanda. Magufuli, pamoja na mengini, alilenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chamuunga mkono askofu Mokiwa

              Baada ya kuzidi kuongezeka kwa matapeli na wapigaji wanaotumia majoho, askofu Zaky Mokiwa ameamua kuwatolea uvivu. Ameripotiwa akitaka mamlaka kuwachunguza hasa aina ya mahubiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makonda na Sirro wachunguzwe wote

            Kwanza niombe msamaha kwa kutowataarifu wasomaji kuwa nilikuwa na mpango wa kuendeleza makala ya wiki jana juu ya tuhuma za ulaji rushwa wa wazito wa mkoa wa Dar Es Salaam. Vyombo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bye bye Yahaya Jammeh

Gambian despot, Yahya Jammeh has lost an election he conducted himself It is now official that a tiny West African country of Gambia is now free from Jammeh's iron fist that misruled the country for...

View Article


Mlevi atathmini mwaka mmoja wa Makufuli

            Japo wengi wameishatoa tathmini yao ya utawala wa awamu ya tano, haitakuwa vyema kwa walevi kutofanya hivyo. Hata kama ni mlevi, nina haki ya kutoa tathmini yangu ya kilevi hasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tunahitaji mfumo wa utawala si makondis

             Baada ya rais John Pombe Magufuli kuingia madarakani, staili yake ya uongozi imeanza kuleta hisia mchanganyiko. Wapo wanaopenda staili yake. Na wapo wanaoiponda kutokana namna baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

When Doctors Strike where does the buck stop?

Cartoon for the courtesy of the Daily Nation Kenya.

View Article
Browsing all 3178 articles
Browse latest View live