Je watanzania tunaelewa tunachofanya na tunachotaka?
Kashfa mbili za hivi karibuni zimenifanya nifikiri upya kuhusiana na mikakati madhubuti anayofanya rais John Pombe Magufuli. Kashfa hizi–yaani ile ya bandarini ambapo mita za kupimia mafuta...
View ArticleHata kama hujui kiNdebele, muziki huu unakumbusha nini?
Upendo huu! Hauna cha tajiri wala maskini.Hauchagui hata wapi kuuonyesha wala namna ya kuuonyesha. Hauna wakati wala eneo. Unaongea kwa lugha zote katika zama zote. Hapa nadhani wale waliokuwa bitoz...
View ArticleKijiwe chataka scorpion askopioniwe
Tukio la kinyama la mchovu mmoja kutobolewa macho baada ya kupora na kutupwa barabarani ili agongwe na magari limeudhi kijiwe hakuna mfano. Leo kila mwanakijiwe anaongelea unyama huu tena...
View ArticleBarua kwa mzee Mchonga Nyerere
Baba tena wa kaya, nakusalimu kwa heshima na taadhima. Japo najua hutajibu, naamini unanisikia. Japo huweza kupokea salamu zangu, bado nakuheshimu tena kuliko wengine walio hai ambao...
View ArticleThe window into my book: Africa Reunite or Perish
The synopsis of the bookThe title: Africa Reunite or Perish, 2015.Author: Nkwazi Nkuzi MhangoPublishers: Langaa RCPIG, Bameda, CameroonThemes: Economics, Politics, History, Conflict,...
View ArticleMagufuli kugawa ardhi ya umma HAPANA HAPANA
Akifungua kiwanda cha Salim Bakhresa huko Mkuranga hivi karibuni, rais John Pombe Magufuli alikaririwa akitoa zawadi ya ardhi kwa Bahkresa. Hili halikubaliki kwani nchi si mali ya Magufuli;...
View ArticleSoma wasfu wa Massaburi ugundue alivyoghushi udaktari
Ufuatao ni wasfu wa marehemu Didas Massaburi ambaye wengi tulimjua kama mission town lakini si Daktari pamoja na rafiki na mshirika wake Makongoro Mahanga. Wanaomjua, hakuwahi kuwa na hata shahada moja...
View ArticleKijiwe chamkumbuka mzee Mchonga
Baada ya rais Joni Kanywaji Makufuli kunusuru mishiko kibao ambayo wanene wangekamua kwenda kujimwaya kule Simiyu, Kijiwe kilifunga safari hadi kule Mwitongo kumuona mama Merry ili kumpa...
View ArticleMaticha wanapoonyesha uanafunzi na waziri akaurudia!
Nilitaka kuandika juu ya kadhia ya kule kwa kina Twambombo tununu ambapo wanafunzi maticha walimshushia kipigo cha mwizi mwanafunzi mmoja mtukutu kiasi cha kujivuka mipaka ya uticha wao na...
View ArticleNamuonea huruma Magufuli
Akisema amejitoa sadaka kwa ajili ya watanzania, wapo wanaouliza: “Kwani yeye ni Yesu” utadhani Yesu alikuwa mtanzania! Sijui wanataka awatoe wao sadaka kama ilivyokuwa kabla?...
View ArticleProf Tibaijuka anatak kmudanganya nani?
Hivi karibuni, mbunge wa Muleba Kusini profesa Anna Tibaijuka alipokea tuzo toka umoja wa mataifa ukitambua mchango wake katika kuhamasisha maendeleo. Hili si jambo jipya hasa kwa mtu...
View ArticleMy New Book Is Out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Africa’s Best and Worst Presidents: How Neocolonialism and Imperialism Maintained Venal Rules in Africa seeks to deconstruct the current superstructure that colonialism created and maintains. It...
View ArticleKijiwe chashanga Lukuvi alivyoshughulikia kashfa Moro
Baada ya kuzinyaka kuwa waziri wa Ardhi Bill Lukuvi alivamia ofisi ya ardhi ya nkoa wa Moro na kugundua madudu na kuyaacha, Kijiwe kimeamua kumshangaa na kumjadili. Hii ni baada ya Msomi...
View ArticleSerikali ikitaka kunasa wahalifu ifanye yafuatayo:
Hivi karibuni kaya yetu ilikumbwa na matukio ya kihayawani na ya kutisha ambayo sipendi kurudia kwa sababu za kitaalamu. Hata hivyo, leo nataka nije na mkakati wa kupambana na wahalifu...
View ArticleOnyo na Ushauri: Mlioghushi Msingonje Kifo Kiwafichue
Kadhia ya kughushi vyeti na sifa za kitaaluma ni janga na tatizo kwa Tanzania kitaifa hata kimataifa kwa Afrika. Baada ya kuingia sera za uliberali mamboleo (neoliberalism) kama njia ya...
View ArticleMagufuli aache kulalamikia maovu atumbue
Akihutubia wafanyakazi wa bandari hivi karibuni, rais John Pombe Magufuli alikaririwa akisema “ukiajiliwa bandarini umeukata, unaambiwa hongera na umeukata.” Magufuli alisema hayo akiwa...
View ArticleKwa Hili, Naingia Bongolalaland Kuwekeza Ardhini
Baada ya kugundua kuwa kuna magabacholi wanaweza kuja Bongolalaland na kughushi vyeti vya kuzaliwa na kujizolea ardhi kila kona watakavyo kama alivyofanya Hamnazo Pateli, mlevi sitaki niachwe nyuma...
View ArticleMpayukaji aitwa kwa Joji Kichaka kupiga tafu kampeni
Baada ya lile baguzi la kunuka liitwalo Don Drumpfy kuanza kuchafua hali ya hewa kule kwa Joji Kichaka na Obamiza, chama cha Kidemokrasi kilimwomba mzee Mzima kutia timu kuokoa jahazi....
View ArticleMihadarati: Kwanini Kikwete hamsaidii Magufuli?
Japo balaa la uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya nchini linazidi kugeuka janga la taifa, si viongozi wengi wanapenda kuliongelea. Hata hivyo, hivi karibuni, akiongea kwenye wilayani...
View Article