Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3178

Soma wasfu wa Massaburi ugundue alivyoghushi udaktari

$
0
0
Ufuatao ni wasfu wa marehemu Didas Massaburi ambaye wengi tulimjua kama mission town lakini si Daktari pamoja na rafiki na mshirika wake Makongoro Mahanga. Wanaomjua, hakuwahi kuwa na hata shahada moja ya chuo. Ajabu alipokwenda Uingereza kufanya  Diplama ya ugavi akarejea akijiita Daktari na watanzania wakaendelea kuamini alikuwa daktari wakati ni kilaza. Wanasema wahenga, mficha maradhi, kilio kitamfichua. Hapa chini ni wasfu wa Masaburi kama ulivyosoma na mdogo wake. Je Tanzania inao akina Masaburi wangapi wanaongojea kifo kifichue ukilaza na ukihiyo wao?


WASIFU WA MAREHEMU
Dk. Masaburi alizaliwa Machi 24 mwaka 1960 na alisoma Shule ya Msingi Nseke iliyopo Serengeti na mwaka 1978 alijiunga na Sekondari ya Wavulana ya Tabora na kuhitimu mwaka 1981.
Mwaka 1982 Dk. Masaburi alijiunga na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na kuhitimu mwaka 1985 na kupata cheti cha ufundi wa magari.
Mwaka 1985-1990 alichukua mafunzo ya ugavi na kupata Shahada ya Ununuzi na Ugavi kutoka  Bodi ya Ugavi wakati huohuo akichukua mafunzo ya ununuzi na ugavi nchini Uingereza Chuo cha Chartered Institute of Purchasing and Supply ambapo alitunikiwa cheti cha Diploma ya juu ya Ununuzi na Ughavi mwaka 1988.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3178

Trending Articles


Girasoles para colorear


mayabang Quotes, Torpe Quotes, tanga Quotes


Tagalog Quotes About Crush – Tagalog Love Quotes


OFW quotes : Pinoy Tagalog Quotes


Long Distance Relationship Tagalog Love Quotes


Tagalog Quotes To Move on and More Love Love Love Quotes


5 Tagalog Relationship Rules


Best Crush Tagalog Quotes And Sayings 2017


Re:Mutton Pies (lleechef)


FORECLOSURE OF REAL ESTATE MORTGAGE


Sapos para colorear


tagalog love Quotes – Tiwala Quotes


Break up Quotes Tagalog Love Quote – Broken Hearted Quotes Tagalog


Patama Quotes : Tagalog Inspirational Quotes


Pamatay na Banat and Mga Patama Love Quotes


Tagalog Long Distance Relationship Love Quotes


BARKADA TAGALOG QUOTES


“BAHAY KUBO HUGOT”


Vimeo 10.7.0 by Vimeo.com, Inc.


Vimeo 10.7.1 by Vimeo.com, Inc.