Vihiyo na vilaza wakae mkao wa kuliwa
Jamaa akiangua kilio baada ya kubainika kuwa kumbe ni kihiyo aliyeangukia madaraka makubwa kutokana na nguvu ya vimemo. Laiti wangeshughulikiwa wote na kuishia jela, huenda lingekuwa somo kwa wengine.
View ArticleKilichomkweza Makonda ndicho kitakachomshusha
Kuna kisa maarufu cha jamaa aitwaye Kiburi. Huyu bwana alikuwa na kiburi kama jina lake kiasi cha kudhani yeye ni yote katika yote bila kujua avumaye baharini papa! Tokana na kiburiburi...
View ArticleWhen Junior and Senior Engage
We decided to take a walk.We then had a talkAs parent it was my workListening was Junior's workWhat a walk!What a talk!A well done work
View ArticleKijiwe chamstua dokta Kanywaji asiambukizwe majipu
Juzi Mgoshi Machungi aliibahatika kuhudhuria mapokezi ya mkiti mpya wa Chama Cha Majipu, sorry Magamba, sorry, Mapandikizi (CCM) ambapo mkuu wake mpya alikuwa akirejea mjini baada ya...
View ArticleWalioghushi wafungwe maisha na kutaifishwa
Baada ya kuinyaka hivi karibuni kuwa baadhi ya vihiyo vilaza na vigushi wanaanza kujiondoa kwenye ofisi za umma, nimestuka na kupaswa kutoa angalizo kama mtaalamu wa masuala...
View ArticleTanzania ni zaidi ya Ukuta na CCM
Hakuna ubishi; taifa letu liko njia panda; hasa baada ya kujitokeza kile kinachoonekana kama uvunjaji wa katiba na upingaji wake. Kuanzishwa kwa Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA) ni...
View ArticleAhadi za kunasa wazungu wa bwimbwi vipi?
Baada ya kushuhudia zinavyozikwa kashfa kama vile Escrow, Lungumi, UDa na nyingine nyingi, kijiwe kimeamua kukumbushia na kuhoji ilikoishia vita ya kuwanyaka wazungu wa bwimbwi. Baada ya...
View ArticleNaja na UKUTA dhidi ya deni la kaya na marahis wastaafu
Baada ya lisirikali kuwahi kupendekeza kupunguza mishahara ya wanene ili kubana matumizi yasiyo na tija kwa kaya, nilihisi kama kuna ubaguzi. Rahis–kwa kuonyesha mfano–aliagiza mshahara...
View ArticleKijiwe chawalilia wahanga wa tetemeko
Baada ya kupokea kwa mstuko taarifa za kutokea kwa tetemeko huko mkoani Kagera, Kijiwe kilikaa na kutathmini baadhi ya mambo ikiwemo kuomboleza na kutuma salamu za rambirambi...
View ArticleMlevi aja na suluhu kwa hasara zitokanazo na majanga
Baada ya kutokea tetemeko la ardhi kule kwa akina Nshomile waitu, Mlevi nimeona ni vizuri niwamegee utaalamu na uzoefu wangu ili kuepuka hasara na mateso bila ulazima. Kwanza, nawapa pole...
View ArticleUmma ujulishwe sifa za wateuliwa
Kwa wanaokumbuka enzi za utawala wa kwanza chini ya marehemu Mwl Julius Nyerere, watakumbuka uwazi uliokuwapo karibu katika masuala mengi. Mfano, tulizoea kusikia rais akifanya uteuzi jambo...
View ArticleHappy Birthday Nkuzi
Leo ilikuwa siku ya kuzawaliwa Nkuzi. Ametimiza miaka sita.Hatukuwa na mtoko kutokana na kuwanyesha ,mvua hivyo, tumeishia kusherehekea indoors.
View ArticleJe ni Makufuli au uzembe wetu?
Baada ya kugundua kuwa matapeli na wazembe wameanza kumtumia Dokta Kanywaji kama sababu ya kukwama kwao, kimeamua kutoa angalizo miongoni mwa wanakijiwe na wanakaya wote ili waache visingizio...
View ArticleMlevi kuomba kuwa mkurugenzi wa bandari
Baada ya kushuhudia, ubabaishaji, ufisadi, ujinga na kila aina ya madudu bandarini alipotembelea Dokta Kanywaji, Mlevi napanga kuandika barua ya kuomba niwe mkubwa wa eneo hili nyeti ili...
View ArticleBarua ya wazi kwa Hamad na Lipumba
Waheshimiwa,Naamini hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida. Naandika barua hii kwa uchungu mkubwa kama mpenda mageuzi. Kilichonisukuma kuandika barua hii ni mambo yafuatayo:...
View ArticleKijiwe chalaani upumbavu wa Iringa Mvumi
Kitendo cha kinyama kilichotendwa na wananchi wa kijiji cha Iringa Mvumi kimeacha kijiwe na simanzi, hasira na hata kutaka kulipiza kisasi. Baada ya kuzinyaka kuwa maafisa waKituo cha Utafiti...
View ArticleTunapogeuka kaya ya wapumbavu na wanayama!
Wiki hii mlevi sikupata vile vitu vyangu. Nilikuwa kwenye msiba hata kama uliwahusu wachovu ambao sikuwahi kukutana nao. Baada ya kunyaka taarifa kuwa wanakaya kwenye kijiji cha Iringa Mvumi...
View ArticleHayawi hayawi! Afrika yapata treni ya kwanza ya umeme
Nchi ya Ethiopia inaingia kwenye vitabu vya historia kama nchi ya kwanza kuwa na Treni ya umeme ukiondoa Afrika Kusini katika Afrika. Hivi karibuni mradi wa ujenzi wa Treni ya umeme kutoka Addis-Ababa...
View ArticleKumbe 'usanii' unalipa!
Angalia babu wa Loliondo, Ambilikile Mwasapila anavyoonekana kabla ya kuibuka na baada ya kuzinyaka akiwahadaa wajinga kuwa ana tiba ya ajabu wakati alichokuwa nacho ni uongo wa ajabu. Je namna hii...
View Article