Makufuli tumbua wachunaji
Juzi nilisika saka saka ya mchunaji mmoja anayejiita mchungaji akiihangaisha sirikali. Wabongo kwa kukuza mambo, hakuna mfano. Kwani, mchunaji mwenyewe punde si punde si alijitokeza. Wacha...
View ArticleMakonda upangaji Nyumba za Msajili ni jipu lako
Baada ya kuondoa ombaomba, kutangaza kiama cha mashoga, mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda anakabiliwa na kibarua kingine ambacho kitapima sincerity na ithibati yake kama kiongozi wa umma. Sina...
View ArticleKijiwe champongeza Dk Kanwyaji
Baada ya Dokta Joni Kanywaji Makomeo kupewa rungu la pili ili atumie kutumbua majipu, Kijiwe kinampongeza na kumtega. Kwani, sasa wachovu wanategemea kuona akifanya vitu vyake bila ya woga...
View ArticleMlevi atamani kufanya biashara na NSSF
Kwanza, nimpongeze rafiki, kaka yangu na msomaji wangu rahis Joni Kanywaji Makufuli kwa kuwatumbua walaji wa Shirika la Utafunaji wa Hifadhi ya Taifa ya Jamii au Nominal Social Syndicate of...
View ArticleJe uraia wa nchi mbili ni kwa wageni tu Tanzania?
Japo watanzania wamekuwa na mawazo na misimamo tofauti kuhusiana na uraia wa nchi mbili, kitu kimoja kiko Dhahiri; sheria ya Tanzania hairuhusu raia yoyote wa Tanzania kuwa na uraia wa nchi mbili. Rais...
View ArticleHappy Birthday Nkwazi Mhango Jr.
Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa kitindamimba wetu Nkwazi Mhango Jr katikati. Alitimiza miaka minne jana akiwa anajiandaa kuanza Kindergarten mwakani inshallah. Junior alijumuika na dada zake na kaka...
View ArticleKijiwe chalaani Mrema kudhalilisha wanawake
Baada ya Agust Lyatongolwa Mremavu kuwadhalilisha wanawake akiwamo washirika wa bedroom wa wazee wa Kijiwe, tumeamua kulaani uchumia tumbo na udhalilishaji huu kwa herufi kubwa. Sofia Lion aka...
View ArticleMlevi ahudhuria mkutano wa Democrat
Baada ya kuboreka na siasa za maji taka pale Idodomya ambapo Chama Cha Magamba (CCM) kilijivua nguo kwa kuruhusu akina Trump uchwara (yule mgombea wa Republican anayesifika kuwadhalilisha na kuwachukia...
View ArticleHapa Maguli nakupa ushauri wako mwenyewe
Hivi karibunivyombo vya habari vilimkariri rais John Pombe Magufuli akiwashauri makamanda wa polisi waache tamaa ya kuwakatisha tamaa polisi wa chini yao hasa wanapokamata magari ya wakubwa. Alisema,...
View ArticleKijiwe chakumbushia Escrew, Lingumi na UDA
Baada ya kufumka kashfa funga kazi kwenye utwahuti sorry utawala uliopita baadhi zikwa ni Escrew, Lingumi na UDA, na kunyamaziwa, wengi walidhani ujio wa dokta Kanywaji Joni Makufuli...
View ArticleUjaji tusitangaze ajira bali kutumbua hata waliopo
Hivi karibuni mahakama imetangaza kuwa sasa kazi za ujaji zitakuwa zikiombwa kama kazi nyingine ili kuepuka kuendelea na mfumo na utamaduni wa kizamani ambao ulijaza majaji vihiyo na wenye...
View ArticleMlevi aanza kuhisi anaanza kulewa madaraka
Baada ya walevi kufanya makosa kwa kunichagua kuwa kiongozi wao, walisahau kitu kimoja muhimu. Walisahau kuwa walevi–hasa wana politiki– huwa hatabiriki wala kuaminika. Sawa na mwana politiki yeyote,...
View ArticleKufungiwa Mseto ni vitisho na uonevu
Kufungiwa kwa gazeti la kila wiki la Mseto tokana na kile kinachodaiwa kuandika habari za uchochezi, kuna kila sababu na ushahidi kuwa hatua hii–licha ya kulihujumu gazeti na kutishia...
View ArticleKijiwe chataka CCM irejeshe mali za umma
Baada ya mwenyekiti mpya wa Chama Cha Makabaila (CCM) dokta Joni Kanywaji Makufuli kufichua kuwa kumbe CCM inamilki vitega uchumi zaidi ya 500 kayani, kijiwe kimeamua kumkabili kumwambia...
View ArticleMagufuli ataibadili CCM au itambadili?
Rais na mkiti wa CCM, Dk. John Magufuli amekaririwa mara nyingi akilaumu serikali iliyopita kwa kulegalega na kuruhusu uhujumu wa taifa. Amekuwa akisikika mara nyingi akisema; Tanzania...
View ArticleKijiwe chastukia ushauri wa kufyatua vitegemezi
Baada ya rahis kutoa amri kuwa wachovu wafyatue vinyemelezi, Kijiwe kimeamua kutoa angalizo juu ya ushauri na ushawishi huu ambao unaweza kukwamisha maendeleo na harakati za kaya za kujikomboa na...
View ArticleMlevi kuwa bilionea kupitia bwimbwi
Baada ya kugundua kuwa nyavu za kupambana na uhalifu haziwagusi wauza bwimbwi na mafwisadi wakubwakubwa hasa waliokuwa marahis Mlevi nimeamua kuingia kwenye biashara ya bwimbwi tena bila kificho. Kwa...
View ArticleMakonda kujengea Bakwata hapana
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikaririwa hivi karibuni akiahidi kulijengea Baraka Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) makao makuu yenye hadhi. Makonda alisema makao makuu hayo...
View ArticleKijiwe chalaani Makondakonda na wauaji wa polisi
Baada ya majambazi kuua ndata wasio na hatia tena wakiwa kibaruani, Kijiwe kimekaa kama kamati kulaani mauaji haya pamoja na matamshi ya kishenzi yanayokiuka haki za binadamu....
View ArticleFyatueni ajira si vitegemezi
Baada ya Mlevi mmoja mkubwa tu kuja na mpya akiwataka walevi wafyatue vitegemezi kama hawana akili nzuri, Mlevi nakuja na angalizo. Nafanya hivyo baada ya kusikia walevi wenzangu wakikamia...
View Article