![]() |
Jamaa akiangua kilio baada ya kubainika kuwa kumbe ni kihiyo aliyeangukia madaraka makubwa kutokana na nguvu ya vimemo. Laiti wangeshughulikiwa wote na kuishia jela, huenda lingekuwa somo kwa wengine. |
↧
Vihiyo na vilaza wakae mkao wa kuliwa
↧