Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173

Hivi ndivyo wengine tulivyoukaribisha mwaka mpya 2017

$
0
0
Huku kwetu uswazi tulipigwa na bonge la theluji. Kwa wiki ya kwanza kabla ya mwaka mpya na  siku moja kabla ya mwaka mpya tulipigwa theluji yapata sentimita kama 30. Hivyo, wakati wengine wakisherehekea sisi tulikuwa tukijifukua toka kwenye zingo la theluji. Hata hivyo, Tumeauanza kwa salama salimin tukishukuru kwa tuliyopata na kuweza hata ambayo hatukupata wala kuweza. Nidyo maisha. Hapo niko na kitindamimba wetu Junior na kaka yake  Nkuzi anaonekana kwa mbali nyuma huku dada yake Ng'ani akionekana kichwa pembeni. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173