Mlevi alaani wakumbafu na waropokaji
Pamoja na kupiga tubangi na kanywaji bado mzee mzima najua mipaka yangu. Najua kuwa ninapotaka kuongea lazima kuhakikisha kuwa kichwa na mdomo vinafanya mawasiliano. Huwa nahakikisha sijambi...
View ArticleMagufuli anapoanza kutetea uoza kabla ya kuingia ikulu
Kusema ule ukweli, miaka kama mitatu kabla ya uchaguzi nilimwambia mwanafunzi wangu aishie Toronto kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa na mgombea mmoja wa maana na anayeuzika, Dk John...
View ArticleLuwasa: Enrichment by rip off
The other day former big Minister Eddie Luwasa who packed after implicated in Richmonduli left me in stitches. I heard telling the Twambombos of Mbeya that if he wins in the coming...
View ArticlePolisi wajitenge na siasa na upendeleo
Hivi karibuni Jeshi la Polisi lilitoa matangazo kuonya baadhi ya wagombea kutokwenda baadhi ya maeneo. Mmojawapo aliyekumbwa na katazo hili na ambaye ameishaathirika nalo si mwingine bali...
View ArticleKijiwe chamkaribisha Dk Silaha
Baada ya Daktari Willy Silaha kufanya maamuzi magumu na kujivua gamba akiachana na siasa chafu za vyama, Kijiwe kina mkakati wa kumvuta ili aje kuongeza nguvu na kufichua uchafu mwingine unaofanywa na...
View ArticleJe Sumaye ataeleweka kwa anayosema?
Kwa wanaokumbuka maneno makali ya waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye aliyejiungua toka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuelekea kilele cha...
View ArticleWanaokodisha helkopta wamepataje huo ukwasi?
Hivi karibuni mgombea ubunge wa jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lazaro Nyalandu aliwaacha wengi hoi. Aliingia kwenye eneo mojawapo la jimbo lake kwa...
View ArticleMsimu wa kula kuliwa na kulana
Baada ya msimu wa kutafunana, kugeuzana majuha, kuuzana, kutalikiana, kusalitiana hata kumalizana kufunguliwa, kila msanii amejiandaa na sanaa zake kuhakikisha anachuma. Hapa walevi ndiyo walengwa...
View ArticleUKAWA jibuni hoja za Slaa kwa hoja
Baada ya Katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa kujing’atua toka kwenye kile alichokiita siasa za vyama, wamejitokeza watu wengi kujibumapigo japo bila mafanikio. Alianza...
View ArticleMgombea urais yuko wapi hapa?
Chama cha ACT-Wazalendo kina vituko. Kwenye bango hili hapa badala ya kuweka picha ya mgombea urais inawekwa picha ya kiongozi wake mkuu. Je hii ni aina ya demokrasia au uimla wa kidemokrasia au...
View ArticleOn Lowassa, Kinana left me in stitches here
By Abdulrahman Kinana In 2013 two British volunteer teachers, Katie Gee and Kirstie Trup – both at the time teenagers – suffered a horrific attack while in Zanzibar, part of Tanzania in East Africa,...
View ArticleThis is electioneering and double-dealing season
I found myself remembering the elections of 1995 with dismay and anguish and angst. Especially remembering how boozers committed a sacrilege big time and the way policies were hopelessly and...
View ArticleLowassa, Paulo, Yuda na Umar
Baada ya waziri mkuu wa zamani aliyeondolewa madarakani na kashfa ya Richmond, Edward Lowassa kujiondoa kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) mengi yamesemwa na kuandikwa. Wapo waliomuona kama...
View ArticleUDART hujuma ndani ya hujuma
Hivi karibuni mradi wa mabasi yaendayo kasi umezinduliwa japo nyuma ya pazia bado kuna maswali mengi. Kwa wanaokumbuka sakata la kutwaliwa kinyemela na kifisadi kwa lilokuwa Shirika la Usafiri...
View ArticleKijiwe chamshauri Gwaijumaa aanzishe chama
Baada ya mchunaji, sorry, mchungaji wa kujipachia uaskofu aitwaye Jose Gwaijumaa kuwafunika wanasiasa kwenye siasa, kijiwe kinahoji anafanya hivyo kama nani wakati kayani kwetu kuna utaratibu...
View ArticleMy New Book Born with Voice is out!
Born with Voice examines the psyche and scrape of the victims of various crimes, especially sexual discrimination-cum-exploitation, rape, and the killing of people with albinism. The author digs...
View ArticleGwajumaa: Si uunde chama cha kisiasa?
Baada ya mchunaji, sorry, mchungaji mwenye cheo cha kujipa cha askofu Jose Gwajumaa kutawala majukwaa ya siasa, Mlevi ameamua kumtolea uvivu. Kila mchovu, mdanganyika na mbongolalalander ana...
View ArticleGwajima: mkeo akikupiga utatangaza?
Sina haja ya kumtetea Dk Wilbrod Slaa katibu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Ila maneno ya hovyo, kuudhi na yaliyovuka mipaka yaliyotolewa na anayejiita askofu Josephat...
View ArticleJK’s send-off dirge
It is obvious that time is up for President Jake Kiquette. I think he’s currently packing up ready to hit the road to oblivion. We indeed will miss his shows which were but a tragicomedy of some sort...
View Article