Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3178 articles
Browse latest View live

Kijiwe chadili ahadi za wagombea

  Baada ya baadhi ya wagombea urahis kuwa wanatoa ahadi kama njugu, kijiwe kimestuka kiasi cha kukaa kama kamati ya ukombozi kujadili janja hii.           Leo Mheshimiwa Mijjinga ndiye analianzisha,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hebu tutumie akili bila makengeza. Hawa tofauti yao ni nini?

View Article


Sijui kwanini wimbo huu umepigwa marufuku Tanzania

View Article

Usalama mitaani: Fungeni tunguli si kamera

          Nilimsikia rahis Njaa Kaya akisema ana mpango wa kuhakikisha miji yote mikubwa kayani inafungwa kamera kudhibiti wizi na maafa mengine. Japo napiga mibangi na ulabu, naunga mkono wazo la...

View Article

Matokeo ya uchaguzi yalete mabadiliko

         Hakuna ubishi. Kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba zimetawaliwa na watu na si masuala. Wagombea wanajinadi kwa sifa binafsi na si sera wanazotegemea...

View Article


When parties became diapers

          I recently was following what unfold in Australia where former premier Tony Abbot was unseated by Malcom Turnbull after being in power for just two years. Guess what, we attended the same...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbe Rugemalira ameiweka serikali ya Kikwete mfukoni!

Makama wa rais Dk Gharib Bilal akimpa tuzo mkurugenzi wa Mabibo Spirits James Rugemalira mtuhumiw amkuu wa ufisadi wa escrow. Huu ni ushahidi kuwa kumbe jamaa bado anao ubavu wa kupewa tuzo kwa...

View Article

Kipindupindu na wagombea urahis

   Baada ya kuona kampeni zikiendelea huku kila mgombea akija na sanaa zake za kuwaahidi wachovu neema wakati mwisho wa siku ni maafa, Kijiwe kimejitoa kimasomaso kuwataka waongelee gonjwa hili la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamanda Nkuzi alivyosherehekea Birthday yake

Kamanda wetu Nkuzi alitimiza miaka mitano sambamba na kuanza vidudu huku mdogo wake kama Nkwazi Jr akitimiza miaka mitatu wakati dada yao Mkubwa Nthethe alianza chuo kikuu mwezi huo huo. Tulisheherekea...

View Article


Mlevi ampiga shule Fest Leidi

Baada ya Anna Tamaa Makapu na Salimia Kiquette kuugeuza ufesti leidi biashara, Mlevi ameamua kutoa nasaha kwa festi leidi ajaye. Kwanza ngoja nitoe utabiri wa kweli. Festi leidi ajaye atakuwa mwanamke....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nitakavyomkumbuka Kikwete

            Bila shaka –bbaada ya kumaliza kuaga ndani na nje –rais Jakaya Kikwete atakuwaanafunga virago kuondoka Magogoni; tayari kujiunga na wastaafu.  Hata hivyo, kwa muda aliokaa madarakani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chatuma wajumbe Bondeni kupinga ufisadi

            Baada ya wachovu wa Bondeni kwa mzee Madiba kulianzisha, Kijiwe kimeamua kuwaunga mkono kwa kuwateua Msomi Mkatatamaa, Mgosi Machungi na Mijjinga kwenda kuwapa tafu.Kabla ya kufikia uamuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

As we celebrate Mtikila

            It is doubtlessly a great loss.  We grieve and weep for the the loss of the person –Rev Christopher Mtikila – an amiable man who kept political dialogue in the hunk always alive....

View Article


Rais ajaye aepuke yafuatayo

         Si kawaida kwa mgombea wa chama kulaumu chama chake au serikali yake hasa pale kinapokuwa chama tawala. Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, Dk John Magufuli na katibu mkuu wa CCM Abdulrahaman...

View Article

Kijiwe chamuomboleza Mtikila

            Baada ya kutokea kifo cha ghafla cha Chris Mtikila, Kijiwe kilikaa kama kamati kumkumbuka gwiji huyu wa ukombozi pamoja na utata wake. Kijiwe kilihuzunishwa na kifo cha Mtikila hata kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

South African withdraw from ICC misguided

When the South African ruling party, the National African Congress (ANC) came up the drive to see South Africa withdrawing from the International Criminal Court (ICC) many were dismayed, saddened and...

View Article

Wasanii ni wakereketwa au njaa na upogo?

Kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea zimefichua uoza mkubwa sana hasa kuhusiana na tasnia ya sanaa hasa za maigizo. Japo ni haki ya wanasanaa kuchagua ni wapi pa kuuza huduma yao, kufanya hivyo...

View Article


Je Amani ni pale Lowassa anapokuwa na tonge akinyang'anywa si amani tena

View Article

Huu mtambo kweli kweli

View Article

Kijiwe chahoji wanene kudedia ugabacholini

Baada ya kuwazidi kuzoeleka taarifa za kuhuzunisha ambacho wanene wetu wanadedia kwenye hospitali ya Apollo huko Ugabacholini, Kijiwe kimeamua kujitoa kimasomaso na kuhoji deal hili ambapo wanene sana...

View Article
Browsing all 3178 articles
Browse latest View live