Ushauri kwa wapiga kura
Leo ni moja ya siku inayowasumbua wengi. Kwani ni siku ambayo kura za watanzania zitaamua nani awe rais wao kwa miaka mitano ijayo. Hata hivyo, ukipita mitaani unaweza kutabiri kirahisi...
View ArticleOct., 25th is the moment of truth
October 25th marks the end of celebrations and temporal generosity that boozers used to enjoy. It officially marks the end of politicking and entering fake and shotgun marriage. The time...
View ArticleBootlicking is part of obedience in Kenya
Looking at how this geezer is self-dressing down you wonder if what he is doing is part of rule of law or true democracy or cronyism and "whiz kidding". Deputy President William Ruto and Kigumo MP...
View ArticleWakati nikingoja matokeo nilisikiliza muziki huu
I Met Girl ni muziki ambao unanikumbusha mambo ya miaka 20 iliyopita. Uniulize mambo yapi. Huyo Girl niliyekutana naye pia usiniulize ingawa yupo hapa karibu akisikiliza nami. I met a girl She made me...
View ArticleI predicted UKAWA's defeat on August 23
I now predict once again. Dr. Silaha’ll follow suit after finding that he made odd bedfellows for long without reckoning with it. Now that message sent, I comfortably predict that the good Doc’ll soon...
View ArticleKijiwe chatabiri ushindi kwa wadanganyika wote
Baada ya wadanganyika kutumbukiza kura zao za kula kwa walaji wao, Kijiwe leo kinakaa kutafakari na kutathmini mambo yatakavyokuwa huku kikija na utabiri wa aina yake ambao utawashangaza...
View ArticleUKAWA walaumu pupa, upogo, ubinafsi kushindwa vibaya
Tunapompmgeza Dk John MagufuliKushindwa vibaya kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kunaweza kufupishwa kirahisi kwa kuangalia yafuatayo:Realpolitik za Tanzania na historia ya UKAWAWananachi...
View ArticleWadanganyika wote tumeshinda na tusherehekee basi
Baada ya wadanganyika wote kushinda kwenye uchakachuaji uliopita –kama ilivyokuwa wakati wa kampeni –ni wakati wa kushangilia kwa pamoja. Naona yule anatikisa kichwa akidhani naongea kwa nguvu ya...
View ArticleMagufuli: Kupambana na ufisadi anza na Kikwete
Wahenga walinena: Jasiri haachi asili. Hapa jasiri ninayemuongelea si mwingine bali rais Jakaya Kikwete ambaye kuingia kwake madarakani kunasemekana kuwezeshwa na fedha ya wizi wa mabilioni ya Mfuko wa...
View ArticleWhen Bongo politics became nastily bongo-bongo
Bongo politics had saneness before the Chama Cha Maulaji (CCM) appointed its presidential candidate Dr Joni Kanywaji Makufuli. Before this exercise that saw many bigwigs left out in the cold, voters...
View ArticleKijiwe champongeza Dk Kanywaji kwa urahis
Baada ya wapingaji kufanya kosa la mwaka kwa kumkumbatia adui yao waliyembomoa hadi akabwaga uwaziri mkubwa kiasi cha kuiwezesha Chama Cha Maulaji (CCM) kushinda kirahisi, Kijiwe kimeamua...
View ArticleSamia Suluhu Hassan ni nani?
Pamoja na kujua kuwa Bi Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wetu wa rais na mwanamke wa kwanza nchini kushika wadhifa huu, wengi hatujamfahamu vizuri. Kwa mfano, katika sherehe za kuapishwa kwake na rais...
View Article